Kwani Mzee Mengi yuko hai? Yeye mbona biashara zake hazijafa na kuna ugomvi wa kifamilia huko? Acha upumbavu jamaa.Hujui kitu unarukia tu Mambo usiyoyajua. Kwa taarifa yako mmiliki Mrema alifariki mwaka jana hivyo familia wakaanza kugombana bila maelewano ikitiliwa maanani alikuwa na watoto wa mama tofauti tofauti ikafikia wakashindwa hata kuwalipa mishahara wafanyakazi pia mikopo ya benki wakashindwa kulipa. Hivyo tatizo hapo ni management baada ya mzazi wao kufariki and not otherwise.
Wakati mwingine uliza kwanza siyo kurukia mambo yanayokuzidi kimo dada!
Mkuu ni kweli mi nasoma Institute of Accountancy ArushaSource?
Mdororo wa uchumi. Safari ya Tanzania kuelekea uchumi wa Zimbabwe ya Mugabe imeshaanza. Mitano tena!Hii ndio taarifa ya sasa na ya kushangaza inayozunguka Tanzania mpya yenye uchumi wa kati , kwamba Hotel ya nyota 5 iliyo kwenye kitovu cha utalii Arusha , imefikia makubaliano na uongozi wa chuo cha Uhasibu ili kufanywa malazi ya wanafunzi ! kiukweli hili jambo linafikirisha haswa .
Nakulilia Tanzania .
Kawaida Yao mkuuMkuu honestly mie naumia kweli kweli yani
Tumevuka mipaka ya kutokua na AKILI TIMAMU sahivi Sijui tuko wapi
Watu wamekua wanashindana kutoa kejeri dhidi ya Serikali Mara mitan tena, Mara uchumi wa kat yani alimrad mtu na yeye aseme aonekane, Mbona Mimi wakat nip jalalani kam nyie sikua natoa kejeri hivi [emoji19][emoji19]
Ni jambo jema kuliko kukosa biashara kwa uhaba wa wateja. Hiyo hotel ilikua inajiendesha kwa kupora wateja wa kituo cha mikutano cha kimataifa cha arusha kwa njia za kifisadi na kusababisha gharama kubwa kwa serikali kutokana na vigogo serikalini kutunga semina na mikutano isiyokua na tija ili kuipatia biashara hoteli hiyo. Acha tu ife kama wenyewe wameshindwa kubuni uendeshaji wenye tija kwa uchumi wa taifa.Hii ndio taarifa ya sasa na ya kushangaza inayozunguka Tanzania mpya yenye uchumi wa kati , kwamba Hotel ya nyota 5 iliyo kwenye kitovu cha utalii Arusha , imefikia makubaliano na uongozi wa chuo cha Uhasibu ili kufanywa malazi ya wanafunzi ! kiukweli hili jambo linafikirisha haswa .
Nakulilia Tanzania .
Bora umeliona hiloI wont CONCERN Kufail Kwa Hiyo Hotel
ila naumia KUONA baadhi Watanzania wenzangu tukiwa na Ujinga Mwingi kichwani
Amelewa huyoAisee mwandiko wa ovyo kabisa sijapata kuona.
Wengi malimbukeni tu wa mitandaoni...wa kupuuzwa.Mkuu honestly mie naumia kweli kweli yani
Tumevuka mipaka ya kutokua na AKILI TIMAMU sahivi Sijui tuko wapi
Watu wamekua wanashindana kutoa kejeri dhidi ya Serikali Mara mitan tena, Mara uchumi wa kat yani alimrad mtu na yeye aseme aonekane, Mbona Mimi wakat nip jalalani kam nyie sikua natoa kejeri hivi [emoji19][emoji19]
Though I can't feign knowledge of what exactly had transpired to Ngurdoto leading to this abysmal end, however, comparing with other businesses I know which had met the same end, they share one common denominator- a heavy burden of government taxes and other tozos kill businesses. In short, business climate in Tanzania at the moment is awfully unfriendly.....only a fool will plunge in head on!THIS is purely mismanagement, The gvt has nothing to do with the failures and never ending internal conflicts within the family of the late Mrema.
Lawama zote kwa Mrema mwenyewe alishindwa kuweka mifumo ya kuendesha mali hizi sasa kila mtu ni kambale nani ataenda kulala sehemu yenye migogoro??
Asante kwa kunijulishaKosa la marehemu inasingiziwa serikali
Mrema alikua amehodhi kila kitu peke yake na kibaya hakuwa hata na mipango ya baadae. Pole kwa familia yake
Yaani siku hizi hata mtu akifanya uzembe kwenye kumanage biashara anaitupia lawama serikali[emoji23]Kosa la marehemu inasingiziwa serikali
Mrema alikua amehodhi kila kitu peke yake na kibaya hakuwa hata na mipango ya baadae. Pole kwa familia yake
Wengi malimbukeni tu wa mitandaoni...wa kupuuzwa.
Haki ya Mungu Nakuambia AnneYaani siku hizi hata mtu akifanya uzembe kwenye kumanage biashara anaitupia lawama serikali[emoji23]
Kuna watu Nadhani si wazima [emoji23][emoji23]
Karibuni kwenye Graduation wakuu itafanyikia hapo hapo hotelini jumatatu tar 7/12/2020Hii ndio taarifa ya sasa na ya kushangaza inayozunguka Tanzania mpya yenye uchumi wa kati , kwamba Hotel ya nyota 5 iliyo kwenye kitovu cha utalii Arusha , imefikia makubaliano na uongozi wa chuo cha Uhasibu ili kufanywa malazi ya wanafunzi ! kiukweli hili jambo linafikirisha haswa .
Nakulilia Tanzania .
Yaani acha tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haki ya Mungu Nakuambia Anne
ipo Siku utaona watu wanakuja na thread humu wanasema " Mvua inanyesha Dar tuu Wakati mikoani hainyeshi na Serikali imekaa kimya tuu " and the likes
Na watu watakuja kucomment ushuzi as usual
Nikasema hiii"Uchumi umekua kweri-kweri mpaka watoto wa wanyonge wanalala kwenye hostel zenye hadhi ya nyota 5" By Mataga flani
Aiseee !!Karibuni kwenye Graduation wakuu itafanyikia hapo hapo hotelini jumatatu tar 7/12/2020View attachment 1639535
Laki 4 kwa Mwaka.Wanakodishwa kwa kiasi gani? Je, mkataba wao unasemaje?
Duh hizo mali zilipatikana kimagumashi niniUwekezaji wa msimu
Mwenyewe kamaliza muda wake kaondoka na mali zake