Chuo cha Uhasibu Arusha chadaiwa kudahili Wanafunzi wengi kuliko uwezo wake, wengine wasomea na kuishi Hoteli ya Ngurdoto

Acha unafiki ,ile hotel ni ya mtu binafsi,na kama zilivyo biashara za ngozi nyeusi mwenye mali akiondoka nazo zinaondoka,kuanguka kwa hiyo hoteli hakuingiliani kwa chochote na serikali au uchumi wa kati, unafikirishwa na nini kwa kipi cha ajabu?kufilisika kwa kampuni au biashara ni jambo ambalo lipo duniani kote la sivyo wewe ni mkulima wa matikitimaji ndio maana unafikirishwa kuanguka kwa hiyo hoteli
 
Mitano Tena!!
 
Kama sijakosea mwenye Land Mark Hotel ya Ubungo pale naye alishawahi igeuza hosteli kwa Muda.
 
Tatizo sio Tanzania na uchumi wa Kati, bali ni warithi kushindwa kuwa na umoja na kuweka management inayo stahili
 

They should be thankfully
 

The best pumba nimesoma mwaka huu! Ngurdoto imeanza kufanya vibaya sana kabla hajafa, ila alipokufa ndo udhaifu wote umekuja kwenye surface maana Hakuna management inayowezekana!
 
Msijali tunaanza kusajili watalii wa ndani loji na hotel dec 2020 kwa portal ya maliasili na utalii, kila mteja atapaswa tumia Id, nida, leseni udereva ama paspoti.
Kwami first world mteja anasajiliwa kwa kutumia nini? Jambo usilolijua ni sawa na usiku wa kizaa, endelea kuota mchana
 
Kama sijakosea mwenye Land Mark Hotel ya Ubungo pale naye alishawahi igeuza hosteli kwa Muda.
Ngurudoto hyo wanafunzi naona wanajiachia
Ona kwnza mazingira ndani yalivyokuwa hadhi imepunguaa ubora umeshuka

Ova
 

Attachments

  • VID-20201202-WA0008.mp4
    10.3 MB
Huenda wengi watapigwa DISCO kwenye mitihani ya kupanda mwaka!
 
Hapa linaloshangaza ni jambo moja tu mteja mkubwa wa hotel hii alikuwa ni nani? maana kitakwiimu tanzania kwa sasa watalii wanaoingia ni wengi mno kupita miaka yote iliyopita au mteja mkuu alikuwa ni SEMINA?
Familia wameshindwa kuiendesha kutokana na mauzauza yao huoni hata ubora umeshuka
Mandhari vyumba ndani utafikiri gesti ya shimbikati sasa mtalii gani atakuja

Ova
 
We mzee wa magorofa ya drive in
Mnapenda sna vya bure
Muwe mnalipa hela

Ova
 
Hivi unajua kitu inaitwa "bailout" ewe sukule!?
Yaani wewe ulewe fedha zako serikali ije iku rescue??? Unajua biashara wewe ??? Unajua kitu kinaitwa fair trade?? Nguvu ya soko ??
Umeshindwa biashara uza hizo assets kwa wenye kuweza kuindesha, wewe hamia kwenye biashara zingine. Uone hao wengine watahitaji bail out au hasa ya hitaji hiyo bail out.
Mbona hatujasikia Golden Crest kutakuwa hostel ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…