Chuo cha Uhasibu Arusha chadaiwa kudahili Wanafunzi wengi kuliko uwezo wake, wengine wasomea na kuishi Hoteli ya Ngurdoto

Chuo cha Uhasibu Arusha chadaiwa kudahili Wanafunzi wengi kuliko uwezo wake, wengine wasomea na kuishi Hoteli ya Ngurdoto

Hiyo hotel mmiliki alishafariki sasa huwezi kukimbilia kulaumu serikali chadema tunahitaji utulivu n umakini zaidi kwenye kuripoti habari kama hizi
Mzee Mengi ni mchaga kama alivyo huyo Mrema mwenye hotel na kufariki kwa mzee Mengi hatujaona tv, radio wala magazeti yake yakifungwa.

Sasa unaposema mwenye mali kafa hivyo na biashara yake imekufa basi ingekuwa kila mwenye mali akifa basi afe na mali zake nchi hii ingekuwa masikini mno.
 
Hivi mnavyosema na bado ni nan anakomolewa hapa? Tanzania ikiingia kwenye kanga ni watanzania wote tunaoishi tanzania tutaumia kwahiyo tusishangalie matatizo ya tanzania ila tunatakiwa kuishauri serikali yetu
Inashaurika? Wakati mtu anakwambia hapangiwi na ukimshauri ndo unaharibu kabisaaaa.
 
Kwahiyo watalii wamepungua kwenye hotel moja tu tena ya 5 [emoji93]?

Halafu Tanzania hatuna corona hao watalii kwanini hawaji na anga zilishafunguliwa kitambo.
Mkuu utalii na watalii wanahusika na nchi nyingi sana mkapa afike na kuondoka Tanzania... Na nchi nyingi (source markets) bado Covid-19 inazidi kushika kasi...
So biashara ya utalii si direct kama kupanda daladala za makumbusho mawasiliano...
Arusha kama Arusha ni mji ulioathirika kiuchumi kupita miji yote (isipokuwa Unguja na Pemba) kutokana na kudorora kwa utalii...
 
vyovyote iwavyo lakini 5 star Hotel kuwa hostel ya chuo duni kama cha uhasibu Arusha sijawahi kuona
Huwaga unaubishi wa kijinga Ngurudoto ni swala la management ndo inshu nawewe Kama mdau ws JF humu Kuna mada nyingi sana zinavyoelezea jinsi warithi wanavyofuja Mali na kusahau kuwekeza kwenye uzalishaji
 
Asante kwa kunijulisha

Unaona Sasa Mama D, Mimi sikuwa naijua hio hotel wala mmiliki simjui Lakini nilivyoona hio habar wala sikua na kimuhe muhe cha kusema mitano tena MARA uchumi wa kati Sijui nini, Unless ujitoe akili ndio unawez fanya hivyo kama walivyo wengi
Mwenye akili timamu sio rahisi awe na akili za kufatana fatana
TUNAAMBUKIZANA SANA UJINGA

Unapoamua kufanya uwekezaji mkubwa kama ule ni muhimu ukawa na plan itayokusaidia kukwepa risk za kupoteza pesa yako ikiwa ni pamoja na kujua kiasi cha uwekezaji, management nzuri, succession plan, sheria za nchi, uhakika wa soko tarajiwa na mabadiliko yanayoweza kutokea.

Kama mmiliki ameondoka tuu mali zake zinashundikana kusimamiwa ni wazi hizi biashara hazikua na misingi sahihi.

Wanaoilaumu serikali nao wahakikishe wanaweka mambo yao sawa, hayatokei kwa matajiri wakubwa tuu, hata kwenye familia zetu mwenye mali anapoondoka hata aache mashamba, kuku, mbuzi bila kuacha mipango sahihi vinaondoka nae
 
Hivi mnavyosema na bado ni nan anakomolewa hapa? Tanzania ikiingia kwenye kanga ni watanzania wote tunaoishi tanzania tutaumia kwahiyo tusishangalie matatizo ya tanzania ila tunatakiwa kuishauri serikali yetu
Hakuna kitu ninachopenda kama serikali ya jiwe ikipata matatizo kama wao wanavyofurahi kundi fulani la watu likipata matatizo
 
Kuwa na kifua kikubwa ni maturity pia let yours be yours, the past that are typically yours no good to retrieve. Please at personal level never speak about the dead when they can't respond to whatever squirts of today unleashed to the public. Learn to speak the good side of the deceased there is no harm and the survivors will respect you.
 
Duh...!, Mkuu Erythrocyte , asante kwa taarifa hii⁩ , kwanza naomba ku declare interest, mimi ni mdau wa hotel za Mzee huyu. Kampuni yangu ya PPR, ndio ilikuwa ikiwatengenezea matangazo ya biashara, na kila mikutano mikubwa tukiitwa kuitangaza, na ni Mkutano fulani uliofanyikia Ngurdoto, ukanifanya waandishi wa Arusha niwavulie kofia, kwa kuwaheshimu kwa umoja!.

Comming back to Hotels, my favourite ni Impala na ndio makao makuu. The boss mchana kutwa anashinda kwenye usimamizi, anaingia kazini saa 5 usiku, hadi saa 12:00 asubuhi, daily, hakuna kulala na hakuna Jumamosi, Jumapili wala Sikukuu.

Kutokana na ratiba hii, sijui chakula cha nyumbani alikuwa anakula saa ngapi, lakini kwa wahudumu wa hotel na walivyo warembo, ilikuwa ni kazi na dawa!.

Kupitia ukaribu huo, kwanza ndio nikajua kumbe ni huyu jamaa huwa anaamua Mbunge wa Arusha awe nani, ni yeye aliyekuwa akimfund Lema japo ni mwana CCM, kama yule tajiri wa Dar alivyokuwa aki i fund Chadema japo yeye ni CCM, na angekuwa hai, CCM ingepigwa mweleka Arusha.

Kwa sisi wanye economic eye, the money ilitumika as capital kujenga hiyo business empire yake, sio income from the hotels only, alikuwa na side business ya big bucks changing hands usiku kucha. Kwa vile na mimi nafanya editing usiku kucha, ndio unaona people's movements with trunks full of $. This side business ndio inaingiza good money, mke, watoto hawajui na hawawezi na wazee wengine kwa sababu walikuwa wanajua the risks associated, hivyo they opted to keep the family away.

Alipoitwa kwenye makao yake ya milele, no one else knew how to go about. Na japo jamaa alikuwa ni Mchaga, lakini alikuwa na genes za Kisukuma za kupenda vi spring chickens vyeupe, na kupenda watoto, hivyo he had many with warembo na kuna mahali, alma nusra ningemvunjia heshima, ila after learning ni pumziko la Boss, I just said no, kwa heshima tuu, hata kama Boss hata jua!, the lady insisted nisiogope, kwasababu the boss picks every good tasty meals!. Hizo ni tabia za Kisukuma za wanawake wengi, watoto wengi na openly!.

Uzuri wa huyu Mzee, akikukubali, any price you tell anakulipa bila kusema punguza kidogo!. Mimi na team yangu ni kula bure, kulala bure!. He was more than boss, na baada ya kujikuta tunafanana tabia, tukatokea kuwa marafiki, jamaa anaongea na presidents!.Hizo connections ndizo zilikuwa zinafanya hotel zijae. Ameondoka na connections zake!.
RIP Don Mrema!.

P
r.i.p mrema
 
Paskal umesema kweli tupu
 
Duuu si anapata hasara jamani
Hakuna hasara kwasababu hakuna watalii kabisa, we hoteli haiingizi watalii kabisa huku wakiendelea kuingia cost ya kuwalipa wafanya usafi wa ndani, laundry, garden n.k

Wanaona ni bora wale pesa za kuwahost wanafunzi kuliko hotel kubaki tupu

Hali ni tete

[emoji6][emoji6][emoji6]
 
Hii ndio taarifa ya sasa na ya kushangaza inayozunguka Tanzania mpya yenye uchumi wa kati , kwamba Hotel ya nyota 5 iliyo kwenye kitovu cha utalii Arusha , imefikia makubaliano na uongozi wa chuo cha Uhasibu ili kufanywa malazi ya wanafunzi ! kiukweli hili jambo linafikirisha haswa .

Nakulilia Tanzania .
Kweli haya ni majanga , hoteli nzuri hivyo leo inageuka hostel? Hatari na nusu.
 
Daah!! Ngurdoto wanafunzi wanalipa shilingi 400,00/=hostel kwa mwaka? Huku Mwanza maeneo ya Nyegezi wanafunzi wa SAUT wanalipa laki 8 hadi milioni moja kwa mwaka kulipia chumba kwa watu binafsi, vyumba vyenyewe vya kawaida tu vingine hata havina vitanda.
 
Biashara za kitanzania nyingi haziwaandai succeeding generations kuja kuendesha biashara walizoacha muaanzilishi (founder) hivyo kupelekea biashara hizo kufa. Greed pia ya wanafamilia kugawana mali ni ujinga mwingine tunao sana.
 
Failure yao ya kuendesha biashara unataka uilaumu Serikali ? Mbona Serena haijageuzwa hostel ?
Serena imejizatiti vzr
Subir uone na yatakayotokea
Kwa mengi
Ndo utajua bongo n kina nan
 
Back
Top Bottom