Munambefu
JF-Expert Member
- Jun 24, 2012
- 2,811
- 7,200
Nasema uongo ndugu zangu?Watanzania mtembee vifua mbele tunakwenda vizuri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasema uongo ndugu zangu?Watanzania mtembee vifua mbele tunakwenda vizuri.
Hapo ujue serikali haipendwi na Wananchi, mbona liko waziYaani siku hizi hata mtu akifanya uzembe kwenye kumanage biashara anaitupia lawama serikali[emoji23]
Kuna watu Nadhani si wazima [emoji23][emoji23]
Bado hapajaumaInauma sana aiseee
Wameachiwa hadi fenicha!? Hiyo floor ya mbao itakunywa maji na kuoza. Jamaa watakuwa walikuwa desperate sana hadi kufikia uamuzi huo. Unaweza kuta ilikuwa iwe hostel apate ya kulipa madeni au iuzwe.Naona madenti wanajiachiaaa
Wanajisanuasanua tu humo vyumbani
Ova
Huwezi ukafanya upumbavu halafu eti uilaumu serikali.Hapo ujue serikali haipendwi na Wananchi, mbona liko wazi
Kwahiyo wewe usie mpumbavu unadhani selikali imeihujumu hiyo hotel?Kwani Mzee Mengi yuko hai? Yeye mbona biashara zake hazijafa na kuna ugomvi wa kifamilia huko? Acha upumbavu jamaa.
Kweli kabisa. Kama hii familia ingeshauriwa vizuri hizo property wangetafuta management Kama doorways, serena , sheraton, wakazirun wao wakawa wanapokea gawio. Kugawa a mali za hivyo ni ushamba wao wangekia tu gawio linapotoka wao wanalipwa mshahara. Hivyo wangeendelea bila stressBiashara za kitanzania nyingi haziwaandai succeeding generations kuja kuendesha biashara walizoacha muaanzilishi (founder) hivyo kupelekea biashara hizo kufa. Greed pia ya wanafamilia kugawana mali ni ujinga mwingine tunao sana.