Chuo cha Uhasibu Arusha chadaiwa kudahili Wanafunzi wengi kuliko uwezo wake, wengine wasomea na kuishi Hoteli ya Ngurdoto

Chuo cha Uhasibu Arusha chadaiwa kudahili Wanafunzi wengi kuliko uwezo wake, wengine wasomea na kuishi Hoteli ya Ngurdoto

Kutokana na changamoto ya kibiashara katika sekta ya utalii uongozi wa hoteli yenye hadhi ya juu ya kitalii wameamua kuigeuza hoteli hiyo kuwa hosteli kwa ajili ya wanafunzi wa vyuo mbalimbali vilivyopo Arusha.

Hoteli hiyo ina uwezo wa kuchukua wanafunzi 2000 hivyo kuingiza mapato ya zaidi ya 70 milioni kwa mwezi.

Hoteli hiyo ilifungwa zaidi ya mwaka kutokana na changamoto za biashara.

Chanzo:
Clouds Radio
 
Yaani siku hizi hata mtu akifanya uzembe kwenye kumanage biashara anaitupia lawama serikali[emoji23]
Kuna watu Nadhani si wazima [emoji23][emoji23]
Hapo ujue serikali haipendwi na Wananchi, mbona liko wazi
 
Uchumi wa kati ni pamoja na wanafunzi kulala sehemu nzuri,

Sehemu nzuri zilikuwa zinalaliwa na majizi na mafisadi

Sasa ni muda wa majizi na mafisadi kuisoma number na kuishi kama mashetwani

Kwani kuna dhambi gani watoto wako kulala sehemu nzuri?.

Eti msomaji unaesoma hapa, wewe hupendi mwanao alale sehemu nzuri?

Sio kila jambo ni kupinga pinga tu,, mjifunze kuwa alie juu saa yoyote ataporomoshwa
Ni hayo tu
 
Naona madenti wanajiachiaaa
Wanajisanuasanua tu humo vyumbani

Ova
Wameachiwa hadi fenicha!? Hiyo floor ya mbao itakunywa maji na kuoza. Jamaa watakuwa walikuwa desperate sana hadi kufikia uamuzi huo. Unaweza kuta ilikuwa iwe hostel apate ya kulipa madeni au iuzwe.
 
Tulichezewa sana , watanzania mniombee

Tusubiri waziri wa mambo ya ndani mh haraka haraka atazungumza nini.

#mitano tena
 
Kwani Mzee Mengi yuko hai? Yeye mbona biashara zake hazijafa na kuna ugomvi wa kifamilia huko? Acha upumbavu jamaa.
Kwahiyo wewe usie mpumbavu unadhani selikali imeihujumu hiyo hotel?
 
Biashara za kitanzania nyingi haziwaandai succeeding generations kuja kuendesha biashara walizoacha muaanzilishi (founder) hivyo kupelekea biashara hizo kufa. Greed pia ya wanafamilia kugawana mali ni ujinga mwingine tunao sana.
Kweli kabisa. Kama hii familia ingeshauriwa vizuri hizo property wangetafuta management Kama doorways, serena , sheraton, wakazirun wao wakawa wanapokea gawio. Kugawa a mali za hivyo ni ushamba wao wangekia tu gawio linapotoka wao wanalipwa mshahara. Hivyo wangeendelea bila stress
 
Mmiliki anapiga hella tu,lakin kwa chuo kimejaza wanafunzi wakati hostel
 
Back
Top Bottom