Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,252
- 18,335
Sasa itajaa machata ukutani 'Akumbukwe chelu'
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu kumbe hali ndivyo ilivyo huko?Utalia Arusha hamna kabisa, hotel nyingi zipo tupu, hadi hali ije itengamae sio leo wala kesho
Sahiv Arachuga Pamekuwa Araalostomkuu kumbe hali ndivyo ilivyo huko?
Wanakodishwa kwa kiasi gani? Je, mkataba wao unasemaje?
dah kweli hali imekuwa mbaya400,000 / year
aliyeshindwa kuendesha anawezaje kuingia mikataba na chuo cha uhasibu ?
Chadema hii ya Ngurdoto mmeifanya kuwa agenda.Hii ni moja ya habari ya Siku ya leo ambapo inaelezelwa kuwa hoteli hiyo ilivyokuwa na hadhi ya nyota tano imegeuzwa kuwa hosteli ya wanafunzi wa Chuo cha Uhasibu Arusha...
Tena ongeza sentensi inayosema maendeleo hayana vyama.Ni dalili za ukuaji uchumi, tutembee kifua mbereee.
Ni Kweli kuna jambo!--na sio dogo!Ngurudoto - campus
Kuna namna lazima, si bure!
Challenge ya ujamaaNaona hoteli zote za Mrema zina Challange.
Kama hakuwa anaiendesha kitaasisi ni rahisi Sana kufaMzee Mengi ni mchaga kama alivyo huyo Mrema mwenye hotel na kufariki kwa mzee Mengi hatujaona tv, radio wala magazeti yake yakifungwa.
Sasa unaposema mwenye mali kafa hivyo na biashara yake imekufa basi ingekuwa kila mwenye mali akifa basi afe na mali zake nchi hii ingekuwa masikini mno.
Uko sahihi kwa kiasi lakini kwangu mimi nadhani Covid-19 virus ndiyo chanzo kikuu. Hakuna watalii sasa hivi wa kutumia hotel. Ulaya sasa hivi kuna hotel nyingi sana za hadhi ya juu wamepunguza sana bei ya malazi na wana-promote wakazi wa kawaida kwenda kulala angalau usiku mmoja kwa nusu ya bei.THIS is purely mismanagement, The gvt has nothing to do with the failures and never ending internal conflicts within the family of the late Mrema...