Chuo cha Uhasibu Arusha chadaiwa kudahili Wanafunzi wengi kuliko uwezo wake, wengine wasomea na kuishi Hoteli ya Ngurdoto

Chuo cha Uhasibu Arusha chadaiwa kudahili Wanafunzi wengi kuliko uwezo wake, wengine wasomea na kuishi Hoteli ya Ngurdoto

KHAMIS KIGWANGALA HAPO VIPI?

BODI YA UTALII HAPO VIPI?

KAMA TATIZO NI CORONA ZILE HELA MLIZOPEWA KUTOKA EU MNGETUMIA KUOKOA SEKTA BINAFSI.

Jifunze kwa South Africa, Botswana, Namibia na Kenya jinsi walivyotumia pesa za Corona kuokoa sekta binafsi.
 
Elimu isiyo na maarifa ni unyang’anyi ulioboreshwa!
 
Hii ni moja ya habari ya Siku ya leo ambapo inaelezelwa kuwa hoteli hiyo ilivyokuwa na hadhi ya nyota tano imegeuzwa kuwa hosteli ya wanafunzi wa Chuo cha Uhasibu Arusha.

Sababu inaelezwa ni kutokana na kukosa wageni (watalii) kutoka na ugonjwa wa Covid 19.

Tukumbuke hoteli iliyokuwa na nyumba 300, ilikuwa na uwezo wa kulaza mpaka maraisi saba wa nchi kama wageni kwa mara moja, hoteli ambayo leo hii imegeuka hosteli ambayo hata Salary slip akiwa mwanafunzi wa chuo hicho anaweza kulala katika hiyo hoteli.

Maisha Bongo yanakwenda kwa kasi kuliko speed ya mwanga!!
 
Hii ni moja ya habari ya Siku ya leo ambapo inaelezelwa kuwa hoteli hiyo ilivyokuwa na hadhi ya nyota tano imegeuzwa kuwa hosteli ya wanafunzi wa Chuo cha Uhasibu Arusha...
Chadema hii ya Ngurdoto mmeifanya kuwa agenda.

Wewe ni kamanda wa tatu leo kutoka Ufipa unaleta mada hii.
 
Ngurudoto - campus
Kuna namna lazima, si bure!
Ni Kweli kuna jambo!--na sio dogo!
let me try to connect the dots.
Kwanza kwa kutumia kielelezo cha aerial maps na figisu zilizopo to make a working plan.Hii hapa chini ni aerial map ya hii sehemu.
1606913856430.png

Ukiangalia kwa umakini,opposite na Ngurdoto hotel kuna shule ya St jude nyingine ambayo ina uwezo wa kuwa chuo kikuu(wana majengo bora sana kuliko vyuo vingi tulivyo navyo sasa)
In the same week--shule hii inaletewa mizengwe na accounts zake kuwa freezed-https://www.mwananchi.co.tz/mw/haba...-st-jude-waeleza-sababu-ya-kuandamana-3215786

Mitaa hiohio kuna chuo kingine-kinaitwa Arusha University-cha wasabato ambacho hakifanyi udahili mwaka huu--so there's a posibility of them taking over all the premises.
1606914385537.png


This is modern plundering and looting.Ni mawazo tu!(atleast waifanye hata hospitali basi--sio hostel)dah!
@bujibuji,Mwanakijiji Watu8 Mshana Jr
 
Tupo uchumi wa Kati Hadi student ulala 5 star hotel hizi ni juhudi za awamu pendwa.
 
Mzee Mengi ni mchaga kama alivyo huyo Mrema mwenye hotel na kufariki kwa mzee Mengi hatujaona tv, radio wala magazeti yake yakifungwa.

Sasa unaposema mwenye mali kafa hivyo na biashara yake imekufa basi ingekuwa kila mwenye mali akifa basi afe na mali zake nchi hii ingekuwa masikini mno.
Kama hakuwa anaiendesha kitaasisi ni rahisi Sana kufa
 
THIS is purely mismanagement, The gvt has nothing to do with the failures and never ending internal conflicts within the family of the late Mrema...
Uko sahihi kwa kiasi lakini kwangu mimi nadhani Covid-19 virus ndiyo chanzo kikuu. Hakuna watalii sasa hivi wa kutumia hotel. Ulaya sasa hivi kuna hotel nyingi sana za hadhi ya juu wamepunguza sana bei ya malazi na wana-promote wakazi wa kawaida kwenda kulala angalau usiku mmoja kwa nusu ya bei.

Uzuri ni kwamba serikali za nchi nyingi zimetambua uwepo wa hawa virus na madhara yake na kutoa usaidizi wa fedha angalau kupunguza makali. Huku kwetu rais wetu hataki kabisa kuzungumzia virus na madhara yake na hotel kama hizi hazina cha kufanya. Utaacha hotel kubwa kama ile ibaki wazi mwaka mzima?

Si bora kupata hata hicho kidogo kutoka kwa wanafunzi? Na mbaya zaidi nchi kama USA ndiyo kwaaanza zinazidi kutoa tahadhari kwa raia wake kuja Tanzania.

 
Back
Top Bottom