Chuo cha Uhasibu Arusha chadaiwa kudahili Wanafunzi wengi kuliko uwezo wake, wengine wasomea na kuishi Hoteli ya Ngurdoto

Chuo cha Uhasibu Arusha chadaiwa kudahili Wanafunzi wengi kuliko uwezo wake, wengine wasomea na kuishi Hoteli ya Ngurdoto

Duh! Mkuu Erythrocyte , asante kwa taarifa hii⁩, kwanza naomba ku declare interest, mimi ni mdau wa hotel za Mzee huyu. Kampuni yangu ya PPR, ndio ilikuwa ikiwatengenezea matangazo ya biashara, na kila mikutano mikubwa tukiitwa kuitangaza, na ni Mkutano fulani uliofanyikia Ngurdoto, ukanifanya waandishi wa Arusha niwavulie kofia, kwa kuwaheshimu kwa umoja!...
Kwamba mlikuwa mnafanana tabia should not be underrated hahaaaaa
 
Nimeona ishu za hii hotel kubadilishwa kuwa hosteli kwakweli nimeshituka sana.Na kuna watu wana shangilia wengine wana sikitika.

Ila wanao shangilia nazani wakapimwe akili na huenda hakuna wanacho kijua, Ila wanao sikitika watakuwa wako sahihi.

HOteli kubwa kama hii inapo anguka huanguka na watu wengi sana nyuma yake, ''When a Big tree fall, the ground shake. Rajiv Gandhi.

Ukiacha wafanya kazi kuna watu kama supplier, hawa ni kundi kubwa sana na hawa Supplier nyuma yao kuna watu tena na hao kuna watu tena na kadhalika.

Supplier wa lets Say Kuku pale maana yake alikuwa anachukua kwa mfugaji, Mfugaji alikuwa na vijana kawaajiri, huyu mfugaji alikuwa ana nunua Chakula cha kuku cha kutosha, mwenye kutengeneza chakula cha kuku na yeye ana watu nyuma yake.

Ukiangalia hii chain unakuta at the end inaenda kumgusa hata mshona viatu, muuza nguo na kadhalika.

Wanao lose sio wamiliki wala wafanya kazi pekee bali kuna msururu wa watu directly na indirectly wana lose.
 
Hii ni dalili mbaya ya uchumi japo kuna mengi yamechangia.

Mmiliki au msimamizi mwenye hisa kubwa Marehemu Mrema alipofatiki kila kitu kimeyumba. Ana watoto walevi sana wanagombania kugawana mali badala ya kuiendeleza hotel.

Maskini huwa anapenda anguko la tajiri bila kupima madhara
 
Hii ndio taarifa ya sasa na ya kushangaza inayozunguka Tanzania mpya yenye uchumi wa kati, kwamba Hotel ya nyota 5 iliyo kwenye kitovu cha utalii Arusha, imefikia makubaliano na uongozi wa chuo cha Uhasibu ili kufanywa malazi ya wanafunzi! Kiukweli hili jambo linafikirisha haswa .

Nakulilia Tanzania .
Hili ni suala zito mno ukilitizama kwa makini. Hebu fikiria chumba kilichokuwa kikikodishwa kwa zaidi ya sh 1,000,000/= kwa siku hivi sasa ni sh 400,000/= kwa mwaka? Inasikitisha na kuumiza sana.
 
Watu hawapigi vyema hesabu zao kuwekeza kwenye "real estate" bongo.
Huyu mwimgine wa hotel mpya "Palm village" nampa miaka mitano hata mortgage atashindwa kupata kwenye benki zetu. Very shame
Uchawi huu.
 
Chuo cha uhasibu arusha wametumia nafasi iliyopatikana. Hongera sana kwao. Kuliko majengo yakae bure ni heri kuyafanyia kazi.
 
Watu hawapigi vyema hesabu zao kuwekeza kwenye "real estate" bongo.
Huyu mwimgine wa hotel mpya "Palm village" nampa miaka mitano hata mortgage atashindwa kupata kwenye benki zetu. Very shame
Hivi biashara ya real estate huwa inafanywaje mkuu?
 
Nadhani una mihemko ya Siasa .

Anaefahamu huu Mgogoro atakuona Toy flani hivi
Si ndio maana nasema kwenye kupangisha wameelewana lakini kwenye uendeshaji ndio wametofautiana ! halafu unaweza kudhani unafahamu jambo kuliko wengine kumbe hujui lolote .
 
400,000 / year
Mwenye Hoteli ni mwerevu sana, wakati biashara ya Mahoteli imegoma/kudoda kutokana na Covid-19 (Watalii kupungua ) ameona ni bora apate pesa ya mboga hadi mambo yatakapotengemaa. Sioni tatizo hapo, nchi kubwa na zenye uwezo wamekuwa wakiyalipa makampuni kutoa mishahara wakati huu wa Covid-19 na wanaendelea kuwakopesha pesa ndefu tu itakuwa kuweka wanafunzi wa uhakika japo pesa ni kidogo.

Kampuni nyingi kubwa kwenye nchi tajiri zinakuwa liquidated as we speak, we are in a different era and life must continue.
 

Chuo cha Uhasibu Arusha – Institute of Accountancy Arusha (IAA) kimedaiwa kufanya udahili kwa idadi kubwa ya wananafunzi kuzidi uwezo wake, jambo linalosababisha uongozi wa chuo kuhamishia wanafunzi wa baadhi ya kozi katika hoteli ya Ngurdoto..
Hii taarifa ni kweli kwa 101%. Tena mpaka sasa ninapoandika post hii, wengine bado hawajaruhusiwa kuishi hapo ngurdoto baada ya chuo kuwa kwenye mazungumzo na wenye hotel.

Hadi leo sehemu ya wanafunzi wanaotakiwa kusoma darasa moja, wengine wapo Ngurdoto na wengine bado wapo main campus. Walioko main campus, wandandia kuingia madarasani endapo kuna darasa wanashea kozi na wapo main compus wanaingia darasani.

Cha ajabu, tarehe 14 Disemba hii, kuna baadhi wanatakiwa wafanye mitihani huku hawajui hatma yao juu ya masomo yao..
 
Mwenye Hoteli ni mwerevu sana, wakati biashara ya Mahoteli imegoma kutokana na Covid-19 (Watalii kupungua ) ameona ni bora apate pesa ya mboga hadi mambo yatakapotengemaa. Sioni tatizo hap, nchi kubwa na wenye uwezo wamekuwa wakiyalipa makampuni kutoa mishahara wakati huu wa Covid-19 na wanaendelea kuwakopesha pesa ndefu tu itakuwa kuweka wanafunzi wa uhakika japo pesa ni kidogo.

Kampuni nyingi kubwa kwenye nchi tajiri zinakuwa liquidated as we speak, we are in a different era and life must continue.
Hivi unajua Hotel hii iliacha kutoa huduma lini?
 
Kwahiyo watalii wamepungua kwenye hotel moja tu tena ya 5 [emoji93]?

Halafu Tanzania hatuna corona hao watalii kwanini hawaji na anga zilishafunguliwa kitambo.
Kwa hiyo Tanzania wakifungua anga basi, watalii wanakuja tu!
 
Ni poa tu at least wapate fedha za maintainance na kuwalipa day workers
 
Back
Top Bottom