njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
zitaonekana tu labda iwe porini na polisi washapata deal jipyaNauliza hivi kwani hauwezi ukawa unashoot video yako kwa drone bila kibali na usipatikane?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
zitaonekana tu labda iwe porini na polisi washapata deal jipyaNauliza hivi kwani hauwezi ukawa unashoot video yako kwa drone bila kibali na usipatikane?
kipindi cha kampeni walisema kila mkoa utakapoenda kupiga picha ni dollar 100 kama una documentary ya kuzunguka mikoa 10 tayarisha dollar 1000 ya kibali cha drones wakati zipo hadi drones za dollar 500Naukimaliza kusoma utaambiwa kukata leseni laki moja kila baada ya mwaka
Ukiangalia vizuri utagundua wana discourage matumizi ya drones tanzania.Kwani hakuna namna ya kurasimisha elimu iliyopatikana nje ya shule, kwani kila kitu lazima mtu asomee?
Vijana wengi wanarusha drones na hata shule hawajaenda, kuna ubaya gani kurasimisha hao vojana labda wawe wanalipia leseni.
Halafu NIT wana taaluma gani ya drones? Isije kua kama veta wanafundisha magari kumbe hakuna kitu.
Kuna kitu kinaitwa apprenticeship, kwa nini usitambue taaluma za nje ya shule na kuzirasimisha?
baada ya mda utasikia waziri anasema kwa nini tusikusanye ma it wakatengeneza netflix yetu,inashindikanaje?huku akishangaa..yaani vichekesho kweli kuwa na you tube channel inabidi ulipe milioni 3 tcra...hiyo netflix anayosema yeye bashungwa ipo hapa bongo inaitwa SWAHILIFLIX mmiliki mganda kila siku anasumbuliwa na uhamiaji na vymbo vya dola hadi kakata tamaa kapunguza hata kununua movies za wasanii na bei kashusha yuko very discouraged sasa sijuiw atu wajiajiri vipi jameni,duhUkiangalia vizuri utagundua wana discourage matumizi ya drones tanzania.
Good morning Mr.Motivational speaker.Hiyo 1,980, 000/= fanya hivi nenda kijiji cha Mwarazi mgeta pale morogoro tafuta shamba kwa bei nafuu kabisa lima cabbage kwa hekta kumi kwa miezi tatu. Matokeo utayaona sio huu ujinga wa serikali
Watanzania wanyonge tutaendelea kurusha tu ungo kwa mfumo huu.Chuo cha Usafiri wa Anga Tanzania kitatoa mafunzo ya urushaji wa ndege zisizo na rubani (Drones) kwa muda wa wiki nne kuanzia Januari 4, 2021. Mwombaji awe na umri kuanzia miaka 21, awe amemaliza kidato cha nne au zaidi, ajue kusoma na kuandika Kiingereza. Ada ni TZS 1,980,000.
View attachment 1653607
View attachment 1653608
Mimi nimeweza kurusha kwa kujifunza YouTube! Hiyo gharama ni kubwa. Ingia YouTube ujifunze huko.Ndugu zangu, kwa majonzi makubwa sina cha kusema zaidi ya FIVE AGAIN.
MIMI NIKAJUA NI MAFUNZO YA MADUDE HAYA MADEGE YASIYO NA RUBANI MBONA HATA FIGO NINGEUZA JAMANI????
Akasome urubani wa kurusha ndege isiyotumia rubani.Sawa haya nenda kasomee urubani
bro kumbe hujawaelewa hawa tu,wanatafuta mapato,mimi nilijifunza kupitia you tube na kazi ya kwanza nilishoot kwaya nikarusha juu ya maji ziwa victoria wanakwaya wako kwenye boat wala sikuogopa nikaweza,madogo kibaoo mtaani wanazirusha,hawa wanarasimisha kama walivyofanya kwa mafundi simu..washajua ni ajira kwa watu wengi washapigia mahesabu ya hela hapo ,itakuja kwamba hupewi kibali bila cheti cha mafunzo..soon watu watarudi kutumia cranes kama zamani tu halfu utasikia mbona video zenu na movie zenu hazina ladha?Mimi nimeweza kurusha kwa kujifunza YouTube! Hiyo gharama ni kubwa. Ingia YouTube ujifunze huko.