cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Kwahiyo??Dah wewe ni Bwabwa kweli sio kwa kujibu hivi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo??Dah wewe ni Bwabwa kweli sio kwa kujibu hivi
Wee unafaa??Mmmh ila Jamaa Hafai kwa Jamii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bila misaada na mikopoo unaona nchi yako inaweza hata kulisha wananchi wake kwa week?? Unataka watu wafee njaaa??Kwa ujumla Serikali imehalalisha mapenzi ya jinsia moja. tuacheni kulialia kwenye mitandao ni muda wakuchukua hatua.
Hapo wamesema bila kupepesa " Serikali itaheshimu mikataba yote ya kimataifa inayohusu haki za binadamu" kumbe Kuna mikataba tayari!
Swali ni Serikali ipo kwaajili ya Nani? Iweje waamue mambo makubwa hivi bila kuwashirikisha wananchi? ( Bunge) ni muda sasa wakuanzisha maandamano ya amani kupinga huu ufedhuri.
Hii misaada inayodharirisha na kuondoa utu wetu tunaulazima gani nayo?
[emoji24]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hakuna mwenye ubavu huo, mbaki kulia lia kwa keyboard tyuuh ndo faraja yenu ilobakiii.Mkuu tatizo Serikali yetu inaonyeshe imeruhusu ushoga kimya kimya.
Haitusaidii kupiga kelele humu. Tutoke kwa nguvu moja tupigie kelele hili jambo hali ni mbaya sana
Kuna shule Moshi gazeti la nipashe waliandika usodoma wa pale juzijuzi tu, serikali walituma watu, wakaenda kuchunguza na bado wanaendelea na uchunguzi, na pia Kuna namba wamezitoa wamesema Kama Kuna taasisi, mashuleni mavyuoni, Kuna maswala ya ovyo yanatendeka mtu atoe ushirikiano, mi niliscreenshort namba ninazo nikupe utoe ushirikiano .Hopeless na kwa Taarifa yako tu sasa naishi Jirani na hicho Chuo ( Taasisi husika ) na najua yanayoendelea hapo na sijakosea popote.
Leo tukiwa eneo la Tukio tulishangaa kuona Wakazi eneo hilo pamoja na Madereva Bodaboda wakifurahia huku Wakiimba kwa Sauti....Gashoma......Gashoma.......Gashoma Wengine Wakirusha Mawe kwa Wanafunzi wa hiyo Taasisi ambao wote walivalia Misuli tupu.
Mawazo km haya ndio chanzo Cha wanaume waliowengi kubanduliwa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bila misaada na mikopoo unaona nchi yako inaweza hata kulisha wananchi wake kwa week?? Unataka watu wafee njaaa??
Kila mtu apambane na familia yake isiwepo ktk jambo hili.
Hizi kelele kwa keyboard hazisaidii.
Kwa ujumla Serikali imehalalisha mapenzi ya jinsia moja. tuacheni kulialia kwenye mitandao ni muda wakuchukua hatua.
Hapo wamesema bila kupepesa " Serikali itaheshimu mikataba yote ya kimataifa inayohusu haki za binadamu" kumbe Kuna mikataba tayari!
Swali ni Serikali ipo kwaajili ya Nani? Iweje waamue mambo makubwa hivi bila kuwashirikisha wananchi? ( Bunge) ni muda sasa wakuanzisha maandamano ya amani kupinga huu ufedhuri.
Hii misaada inayodharirisha na kuondoa utu wetu tunaulazima gani nayo?
[emoji24]
Naona upo tayari kununua madawa na chanzo mnazopewa bure huku mkifurahia,mabeberu wamewashika pabaya kwa sababu ya umasikini na sera mbovu za serikali yenu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa nchi yako huo uwezo haina. Bila mikopo na misaada bado.Mawazo km haya ndio chanzo Cha wanaume waliowengi kubanduliwa.
Mwanaume kamili ni yule mwenye uwezo wa kupambana na mazingira ktk hali yoyote.
anaejitegemea na sio omba omba.
Sasa huu waraka si ulitoka wakati wa Magufuli??Mkuu napingana sana na sera zinazoturudisha utumwani.
Rest in power Magufuli
Mkuu napingana sana na sera zinazoturudisha utumwani.
Rest in power Magufuli
Kwani kwa Kuandika Kwangu juu ya hiki Chuo ( tena kwa Kujiamini kabisa ) Kwako Wewe sijatoa Ushirkiano? Miswahili bhana.....!!!!!!Kuna shule Moshi gazeti la nipashe waliandika usodoma wa pale juzijuzi tu, serikali walituma watu, wakaenda kuchunguza na bado wanaendelea na uchunguzi, na pia Kuna namba wamezitoa wamesema Kama Kuna taasisi, mashuleni mavyuoni, Kuna maswala ya ovyo yanatendeka mtu atoe ushirikiano, mi niliscreenshort namba ninazo nikupe utoe ushirikiano .
Hakuna dhambi kuu na ndogo. Wala hakuna mioto ya dhambi tofauti tofauti.Mh dhambi kuu isiyondeza Mungu ni dhambi gani [emoji1] [emoji1787]
Pia wewe Gentamycine, unajua dhambi ya kwanza kabisa kutendwa Tangu Dunia kuumbwa na dhambi ya mwisho itakayoondolewa baada ya yote kupita ni ipi?Mmiliki wa Jengo hilo ( aliyewapangisha Wahanga wa Moto Mkubwa uliotokea ) ni Mzee Mwamba, ila anayekisimamia kwa sasa ni Mkewe Profesa Mwamba wa Chuo Kikuu fulani ambaye pia ni Rafiki wa Karibu mno na Mtanzania Muhimu ambaye hivi Karibuni tu amemfanya kuwa ni Mmoja wa Washauri wake Wakuu na kumpa Wadhifa fulani.
GENTAMYCINE niendelee Kuwapongeza Wabunge wa nchini Uganda kwa kuja na Muswada Maalum kuwa Watu wenye Mapenzi ya Jinsia Moja ( hasa Wanaume ) waitwao Mashoga wawe Wanafungwa Maisha au Wananyongwa kabisa.
Huwezi kufanya Jambo Baya au Kuyachafua Maandiko ya Mwenyezi Mungu halafu Laana yake isikupate na asikushushia Mabalaa makubwa ili kukupa Ujumbe kuwa unachokifanya ni kibaya japo unajifanya ni Mcha Mungu hasa.
Na Mtanzania Muhimu sana anawalinda wenye Chuo / Taasisi kwakuwa ni Yeye ndiyo amewakaribisha nchini halafu ni Mwenzao Kiimani na anakula nao kwani Taasisi hiyo iko nyuma ya Tajiri fulani Umoja wa Falme za Kiarabu ambaye yuko mbioni kuja Kuwekeza nchini Tanzania hasa katika Mkoa wa Dar es Salaam na kwamba tayari ameshajipatia maeneo mengi ( Ardhi ) nchini ili aendelee na Miradi yake huku akieneza Michezo michafu kwa Vijana na Wanaume wa Dini yao.
Hakuna dhambi kuu na ndogo. Wala hakuna mioto ya dhambi tofauti tofauti.Hakuna dhambi kuu na ndogo. Wala hakuna mioto ya dhambi tofauti tofauti.
Nataka kusema. Uzinzi umeachwa uonekane wa kawaida kuliko hiyo dhambi kuu. Ila nakuapia hakuna jambo limeua kizazi hiki kama zinaa.
Imeandikwa aziniye na mwanamke hana Akili kabisa. Tena yeye afanya jambo linalomwangamiza nafsi yake. Vijana wangapi wamekufa kwa ajili ya zinaa na kupoteza malengo? Jibu ni hawahesabiki.
Yeyote anaye-classify dhambi hii ndogo, hii ya wastani hii kubwa. ANAJILAANI MWENYEWE maana anahalalisha dhambi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona wanakaza medula. Wamuulize Balozi Mulamula kilichomfuta kazi Ya Kusimamia sera ya mambo ya nje ya nchi.Sina mda wa kukujibu povuuu lakoooo. Hizi kelele za kwa keyboard tumeshazoea.
Muambie rais wako atamke hadharani kuwa "ushoga ni marufuku hapa nchini na ukikutwa na hatia hiyo adhabu ni hii na hii"
Hizo propaganda za majukwaani hazina tija yoyote
Nakuambatanisha na barua hii hapa chini isome kwa umakini, ukimaliza lia taratibu na ufute machozi, afu kunywa maji mengi poleeeeeee sanaaaa,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2534503
Tuliambiwa mulamula ni mwanadiplomasia mbobevu mbona yalimshinda?Sasa huu waraka si ulitoka wakati wa Magufuli??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hataree tupuu.Tuliambiwa mulamula ni mwanadiplomasia mbobevu mbona yalimshinda?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haswaa wakamuulize mwenzangu.Naona wanakaza medula. Wamuulize Balozi Mulamula kilichomfuta kazi Ya Kusimamia sera ya mambo ya nje ya nchi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakumbuka siku ile Mhe. Anaapisha mbadala wake aliongea kwa Tone ya juu na msisitizo akisema kila mteuliwa aheshimu mipaka ya kazi yake kwenda juu na kushuka chini.. [emoji4][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hataree tupuu.