Papaaa mukuubwaaa
JF-Expert Member
- Jan 26, 2023
- 1,534
- 1,511
Qanamf....r Nan sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulishawahi kupakuliwa wee, hadi uone sio mchezo??Unanipa pole ya nini mimi? Nafikiri ungejipa mwenyewe ,kitendo cha kupakuliwa siyo mchezo.
Nyie endeleeni michezo yenu maana mpo wengi ,anakusalimia huyu [emoji116]
View attachment 2534721
Sasa unaweza kubadilisha chochoteeee??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha anaudhi sana huyo mtoto ,kuna mdau mmoja alisema tunamlaumu mtoto wa mona kujitangaza shoga na kumkemea while humu ndani wapo MANGAPULILA halafu tunawachekea.
Aaache kutetea ushoga ,kama yeye ni shoga na anajikubali alivyo atulie tu aendelee kuzagamuliwa kimya kimya na siyo kufanya promotion humu halafu tuendelee kumchekea.
HV cocast unamzungumziaje yule askar aliye kuwa analiwa kibogaOooh basi sawaah
sifanyi umbea maana ni kujifananisha na mwanamke
Sasa unaweza kubadilisha chochoteeee??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umevurugwaaaa?? Una stress?? Poleeeee sanaaa.
Mie ndo nipoo na nitatetea ushogaa 4rever, na huwezi fanya chochoteeee.
Wapiiiii mzee wa povuuuuu, huyu hapa
King Kong III
Mzungumzie wee, unapenda sanaa hizi mada lol.HV cocast unamzungumziaje yule askar aliye kuwa analiwa kiboga
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tenaaa haswaaaaah!!! Yes ts.
Kwema ,sina tabu yeyote hili ni jukwaa huru,tunashare mitazamo kwenye hoja,tunabishana kwa hoja! kila kitu kina pros and cons ,sasa unaangalia kwenye UGASHO/U-NGAPULILA je una faida gani kwenye jamii? Museven kasema ataruhusu ugasho/ungapu endapo akiwafungia ndani magasho na wakapata mtoto.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tenaaa haswaaaaah!!! Yes ts.
Sasa mbna tabu unayoo wee??? Vipi kwemaaaaaa???
Utashangaa unashambuliwa kisa unaopinga ushoga,
Je huu uzi unapinga au una-support?Ukiandika Uzi unaopinga ushoga huwezi uona
Sina mbavu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sina mda wa kukujibu povuuu lakoooo. Hizi kelele za kwa keyboard tumeshazoea.
Muambie rais wako atamke hadharani kuwa "ushoga ni marufuku hapa nchini na ukikutwa na hatia hiyo adhabu ni hii na hii"
Hizo propaganda za majukwaani hazina tija yoyote
Nakuambatanisha na barua hii hapa chini isome kwa umakini, ukimaliza lia taratibu na ufute machozi, afu kunywa maji mengi poleeeeeee sanaaaa,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2534503
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dear hawa watu nawapatia dosage kulingana na homa zao.Sina mbavu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndio nilikua nafatilia convos hapa dear, naona baada ya ile barua kuiweka hapa, wamekua wapole na sasa gia imebadilika imekua ya askari wa Zenji [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dear hawa watu nawapatia dosage kulingana na homa zao.
Huo utu uzima wako na akili zako timamu Una amini hizi propaganda za mu7 na Ruto?? Really??Kwema ,sina tabu yeyote hili ni jukwaa huru,tunashare mitazamo kwenye hoja,tunabishana kwa hoja! kila kitu kina pros and cons ,sasa unaangalia kwenye UGASHO/U-NGAPULILA je una faida gani kwenye jamii? Museven kasema ataruhusu ugasho/ungapu endapo akiwafungia ndani magasho na wakapata mtoto.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan hawa keyboard warriors nawajulia vyediii, wakilipukaa mie nawazima tyuuh chap kwa harakaaa.Ndio nilikua nafatilia convos hapa dear, naona baada ya ile barua kuiweka hapa, wamekua wapole na sasa gia imebadilika imekua ya askari wa Zenji [emoji23][emoji23][emoji23]
Huo utu uzima wako na akili zako timamu Una amini hizi propaganda za mu7 na Ruto?? Really??
Kwa Africa mashariki hakuna nchi yenye ubavu wa kupinga na kukataa ushoga, ila viongozi wanacheza na akili za wananchi wao.
Halafu ukishajua hili ni jukwaa huru na tunabishana kwa hoja, basi kila mtu atoe hoja na mtazamo wake, sio kupangiana.
Mie nikitetea ushoga, na wee ukipinga tatizo nn?? Lakini wee unataka eti na mie nipinge wakati sio matakwa yangu. Kila mtu acheze side yakee, upo hapo mzee baba!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haonwatu ndiyo aliowazungumzia Yesu kwenye Bible na kuwaita mafarisayo. Mafarisayo ni watu wanafiki ambao wanafanana na makaburi yaliyowekwa marumaru na kupakwa rangi yanavutia ukiyaangalia ila ndani yamejaa mifupa na uchafu.Kwahiyo wewe hauna dhambi?
Wee baba ni kwamba huna uelewa au ndo kupovukwa kwako hata huoni nn Una andika??Museveni na Ruto wametamka hadharani ,sasa ulitaka wafanyaje ndiyo ujue wanapinga? Kutinduliwa "Sphincter" unaona ni sawa na unatetea? Ungekuwa unatetea halafu hautinduliwi ningekubali mtizamo wako ila tatizo lako unataka na wengine watinduliwe kama wewe hapo ndipo tunapopingana.
Lini Tanzania ilipokea Msaada kutoka kwa LGBT/wazungu ili wasupport ushoga?