King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Wee baba ni kwamba huna uelewa au ndo kupovukwa kwako hata huoni nn Una andika??
Kwahiyo shoga akitetea ushoga haitakiwi, ila asiye shoga akitetea ushoga ni sawaa?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee umevurugwaaa.
Nchi yako inapokea misaada na mikopo ikiwa na masharti, ndani ya hayo masharti kuna haki za binadamu, ambapo ushoga na mashoga wako ndani yake.
Ndo maana nlikuambia huu waraka hapa chini usome kwa makini, na utafakari, hebu tumia logic bas nawee, mbna unajishusha hivyooo.
Soma hapa chini huu warakaaa.View attachment 2540747
Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un.