Chuo fulani Kilichoungua leo kina Kashfa Nzito, ila Kinalindwa na Mtanzania Muhimu sana

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bila misaada na mikopoo unaona nchi yako inaweza hata kulisha wananchi wake kwa week?? Unataka watu wafee njaaa??

Kila mtu apambane na familia yake isiwepo ktk jambo hili.
Hizi kelele kwa keyboard hazisaidii.
 
Mkuu tatizo Serikali yetu inaonyeshe imeruhusu ushoga kimya kimya.
Haitusaidii kupiga kelele humu. Tutoke kwa nguvu moja tupigie kelele hili jambo hali ni mbaya sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hakuna mwenye ubavu huo, mbaki kulia lia kwa keyboard tyuuh ndo faraja yenu ilobakiii.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna shule Moshi gazeti la nipashe waliandika usodoma wa pale juzijuzi tu, serikali walituma watu, wakaenda kuchunguza na bado wanaendelea na uchunguzi, na pia Kuna namba wamezitoa wamesema Kama Kuna taasisi, mashuleni mavyuoni, Kuna maswala ya ovyo yanatendeka mtu atoe ushirikiano, mi niliscreenshort namba ninazo nikupe utoe ushirikiano .
 
Mawazo km haya ndio chanzo Cha wanaume waliowengi kubanduliwa.
Mwanaume kamili ni yule mwenye uwezo wa kupambana na mazingira ktk hali yoyote.
anaejitegemea na sio omba omba.
 
Naona upo tayari kununua madawa na chanzo mnazopewa bure huku mkifurahia,mabeberu wamewashika pabaya kwa sababu ya umasikini na sera mbovu za serikali yenu.
 
Mkuu napingana sana na sera zinazoturudisha utumwani.
Rest in power Magufuli

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa nchi yako huo uwezo haina. Bila mikopo na misaada bado.
 
Mkuu napingana sana na sera zinazoturudisha utumwani.
Rest in power Magufuli
Sasa huu waraka si ulitoka wakati wa Magufuli??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu napingana sana na sera zinazoturudisha utumwani.
Rest in power Magufuli

Kidogo jpm alikua na ujasiri ila huyu aliyepo na genge lake,hao wanajua pesa tu mambo ya nchi hangwikeni nayo wenyewe.
 
Kwani kwa Kuandika Kwangu juu ya hiki Chuo ( tena kwa Kujiamini kabisa ) Kwako Wewe sijatoa Ushirkiano? Miswahili bhana.....!!!!!!
 
Mh dhambi kuu isiyondeza Mungu ni dhambi gani [emoji1] [emoji1787]
Hakuna dhambi kuu na ndogo. Wala hakuna mioto ya dhambi tofauti tofauti.

Nataka kusema. Uzinzi umeachwa uonekane wa kawaida kuliko hiyo dhambi kuu. Ila nakuapia hakuna jambo limeua kizazi hiki kama zinaa.

Imeandikwa aziniye na mwanamke hana Akili kabisa. Tena yeye afanya jambo linalomwangamiza nafsi yake. Vijana wangapi wamekufa kwa ajili ya zinaa na kupoteza malengo? Jibu ni hawahesabiki.

Yeyote anaye-classify dhambi hii ndogo, hii ya wastani hii kubwa. ANAJILAANI MWENYEWE maana anahalalisha dhambi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pia wewe Gentamycine, unajua dhambi ya kwanza kabisa kutendwa Tangu Dunia kuumbwa na dhambi ya mwisho itakayoondolewa baada ya yote kupita ni ipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna dhambi kuu na ndogo. Wala hakuna mioto ya dhambi tofauti tofauti.

Nataka kusema. Uzinzi umeachwa uonekane wa kawaida kuliko hiyo dhambi kuu. Ila nakuapia hakuna jambo limeua kizazi hiki kama zinaa.

Imeandikwa aziniye na mwanamke hana Akili kabisa. Tena yeye afanya jambo linalomwangamiza nafsi yake. Vijana wangapi wamekufa kwa ajili ya zinaa na kupoteza malengo? Jibu ni hawahesabiki.

Yeyote anaye-classify dhambi hii ndogo, hii ya wastani hii kubwa. ANAJILAANI MWENYEWE maana anahalalisha dhambi. .
 
Naona wanakaza medula. Wamuulize Balozi Mulamula kilichomfuta kazi Ya Kusimamia sera ya mambo ya nje ya nchi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…