Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 7,755
- 11,737
Duwasa wapelekee maji hata ya boza Vijana mnawatesa mabosi wenu wajao!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanavyuo wa Sasa ni wapumbavu sana, wakati wetu ni siku ya kwanza tu hakuna maji baasi wote "tools down". Sasa wanakaa kichokoraa wanawachekea wanasiasa acha wafe na kipindupindu.Chuo kikuu cha UDOM College of Education (CoED) hakina maji kwa zaidi ya wiki sasa.
Wanachuo wanateseka na adha ya ukosefu wa maji hivyo kuathiri ufanisi katika ujifunzaji.
Kibaya zaidi hata vijana waliojiajiri kuwasambazia maji wanachuo wamezuiwa kwa sababu ambazo hazijawekwa wazi, kwani maji yanayonunuliwa na uongozi hayakidhi mahitaji.
Uongozi wa chuo unafikiria nini kuhusu vijana hawa hasa wa mwaka wa kwanza waliotoka mikoa mbalimbali kwenda kupata elimu katika chuo kikuu cha Dodoma.
Na kwanini waliojiajiri kutoa huduma ya maji kutokea nje (Wanaouza kwa kutumia tolori) wazuiwe?
Je, lengo la chuo ni wanafunzi watumie mda mwingi kutafuta maji badala ya kuwekeza muda wao kwenye mambo ya kitaaluma.
Hii ni AIBU KUBWA kwa chuo kama hiki kikubwa kukosa maji na pia kukosa hekima kwa kuzuia wanaouza maji kwa tolori kuhudumia wanachuo.
Akili yako na ya mwanao ni kama chupa na mfuniko.Kwenye vyuo vyenye maji na ambavyo hakuna fisi,nyoka wala kunguni na vyoo safi.
Dr yuko busy kununulia watu tickets 30000 hata kufikiria kuhusu maji chuoni hafikirii anawaza uchaguzi tuu.Duwasa wapelekee maji hata ya boza Vijana mnawatesa mabosi wenu wajao!
Yaani wanawatesa sana wanetu,wanakazi ya kupata ajali karibu na chuo!Badala ya kupiga soridariiiiteee la ukweli mkakinukisha Hadi Kwa spika nyie mnalialia tu.
Wizara zipo hapo udom.... Fungeni wizara ya elimu au mambo ya nje Kwa nusu saa tu wataleta maji.
Upumbavu kama huu ndo CCM inaufurahia.
UDOM nadhani ni chuo kinachoongoza hapa Tz kwa uchafu hasa kwa sababu ya ukosefu wa maji.niliwahii kaa kwenye hayo mabweni siku tatu niliona kama nimekaa miaka mitatu.Yaani.choooni mabomba yalishango'lewa miaka mingiChuo kikuu cha UDOM College of Education (CoED) hakina maji kwa zaidi ya wiki sasa.
Wanachuo wanateseka na adha ya ukosefu wa maji hivyo kuathiri ufanisi katika ujifunzaji.
Kibaya zaidi hata vijana waliojiajiri kuwasambazia maji wanachuo wamezuiwa kwa sababu ambazo hazijawekwa wazi, kwani maji yanayonunuliwa na uongozi hayakidhi mahitaji.
Uongozi wa chuo unafikiria nini kuhusu vijana hawa hasa wa mwaka wa kwanza waliotoka mikoa mbalimbali kwenda kupata elimu katika chuo kikuu cha Dodoma.
Na kwanini waliojiajiri kutoa huduma ya maji kutokea nje (Wanaouza kwa kutumia tolori) wazuiwe?
Je, lengo la chuo ni wanafunzi watumie mda mwingi kutafuta maji badala ya kuwekeza muda wao kwenye mambo ya kitaaluma.
Hii ni AIBU KUBWA kwa chuo kama hiki kikubwa kukosa maji na pia kukosa hekima kwa kuzuia wanaouza maji kwa tolori kuhudumia wanachuo.
Mungu awalinde tuu vijana wetu,hapo kuna PhD zimenyamaza kama hazioni ya maji!Duwasa au uongozi wa chuo?!!Maamuzi magumu lazina yafanyike.udom tena!.. mara kunguni mara vyoo kunuka...
Viongozi wengi wa kiafrika ni sadists!Chuo kikuu cha UDOM College of Education (CoED) hakina maji kwa zaidi ya wiki sasa.
Wanachuo wanateseka na adha ya ukosefu wa maji hivyo kuathiri ufanisi katika ujifunzaji.
Kibaya zaidi hata vijana waliojiajiri kuwasambazia maji wanachuo wamezuiwa kwa sababu ambazo hazijawekwa wazi, kwani maji yanayonunuliwa na uongozi hayakidhi mahitaji.
Uongozi wa chuo unafikiria nini kuhusu vijana hawa hasa wa mwaka wa kwanza waliotoka mikoa mbalimbali kwenda kupata elimu katika chuo kikuu cha Dodoma.
Na kwanini waliojiajiri kutoa huduma ya maji kutokea nje (Wanaouza kwa kutumia tolori) wazuiwe?
Je, lengo la chuo ni wanafunzi watumie mda mwingi kutafuta maji badala ya kuwekeza muda wao kwenye mambo ya kitaaluma.
Hii ni AIBU KUBWA kwa chuo kama hiki kikubwa kukosa maji na pia kukosa hekima kwa kuzuia wanaouza maji kwa tolori kuhudumia wanachuo.
sio aibu, ni ukiukwaji wa haki za binadamu na wanafunzi.Chuo kikuu cha UDOM College of Education (CoED) hakina maji kwa zaidi ya wiki sasa.
Wanachuo wanateseka na adha ya ukosefu wa maji hivyo kuathiri ufanisi katika ujifunzaji.
Kibaya zaidi hata vijana waliojiajiri kuwasambazia maji wanachuo wamezuiwa kwa sababu ambazo hazijawekwa wazi, kwani maji yanayonunuliwa na uongozi hayakidhi mahitaji.
Uongozi wa chuo unafikiria nini kuhusu vijana hawa hasa wa mwaka wa kwanza waliotoka mikoa mbalimbali kwenda kupata elimu katika chuo kikuu cha Dodoma.
Na kwanini waliojiajiri kutoa huduma ya maji kutokea nje (Wanaouza kwa kutumia tolori) wazuiwe?
Je, lengo la chuo ni wanafunzi watumie mda mwingi kutafuta maji badala ya kuwekeza muda wao kwenye mambo ya kitaaluma.
Hii ni AIBU KUBWA kwa chuo kama hiki kikubwa kukosa maji na pia kukosa hekima kwa kuzuia wanaouza maji kwa tolori kuhudumia wanachuo.
😂😂😂😂😂 mmemkumbuka mheshimiwa.Makonda si mlikua mnamkaa pambaneni sasa 😁😁😁Mawaziri amkeni!Watoto wanateseka,Makonda vipi hapo?!!!
Najua mkuu ila sasa UDOM malalamish yamezidi yan daaah na wala sijasema kwa ubaya ila serikali ya bongo ina mambo ya kipuuz, hawajui kuset priorities hela zinachezewa tu hovyo hovyo aiseeHuyu anajua kuwa lift ya hall 2 pale UDSM huwa haifanyi kazi mara nyingi???
Inaonekana wewe ilikuwa kiongozi wa kunji". Mzee wa Solidarity forever solidarity forever. Enzi hizi zilikuwa tamu Sana.Dr yuko busy kununulia watu tickets 30000 hata kufikiria kuhusu maji chuoni hafikirii anawaza uchaguzi tuu.
Na wanachuo nao ma bogus hata kugoma hayagomi. Tungekuwa tunarudisha siku nyuma enzi zetu tungeenda kujisaidia chamwino ikulu.
We acha tu😁😁Na lile jua la Ng'ong'ona duh. Sa itakuaje vyoo?