KERO Chuo kikuu cha UDOM College of Education (CoED) hakina maji kwa zaidi ya wiki sasa

KERO Chuo kikuu cha UDOM College of Education (CoED) hakina maji kwa zaidi ya wiki sasa

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Ndo maana li elimu la Tanzania halina ubora. Mtu yuko chuo anajisaidia kichakani. Ustaarabu wa wapi. Nashukuru mtoto wangu alikiponda hicho chuo kuwa ni cha kata, mnasoma na fisi na nyoka.
Bora Mwalimu Nyerere kuliko hii kitu aisee😀😀
 
Yale mapori yanawasaidia sana, walimu watarajiwa. Yaani CoED kuna liana flani hivi.
 
Siku mnawasurprise kwa kuamkia hapo bungeni na mabango, tatizo vyanachuo vya siku hizi vinasikiliza nyimbo za zuchu hata uwezo wa kufikiri mambo ya maana hamna
 
Back
Top Bottom