KERO Chuo kikuu cha UDOM College of Education (CoED) hakina maji kwa zaidi ya wiki sasa

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Wanavyuo wa Sasa ni wapumbavu sana, wakati wetu ni siku ya kwanza tu hakuna maji baasi wote "tools down". Sasa wanakaa kichokoraa wanawachekea wanasiasa acha wafe na kipindupindu.
 
Duwasa wapelekee maji hata ya boza Vijana mnawatesa mabosi wenu wajao!
Dr yuko busy kununulia watu tickets 30000 hata kufikiria kuhusu maji chuoni hafikirii anawaza uchaguzi tuu.
Na wanachuo nao ma bogus hata kugoma hayagomi. Tungekuwa tunarudisha siku nyuma enzi zetu tungeenda kujisaidia chamwino ikulu.
 
Badala ya kupiga soridariiiiteee la ukweli mkakinukisha Hadi Kwa spika nyie mnalialia tu.


Wizara zipo hapo udom.... Fungeni wizara ya elimu au mambo ya nje Kwa nusu saa tu wataleta maji.

Upumbavu kama huu ndo CCM inaufurahia.
 
Badala ya kupiga soridariiiiteee la ukweli mkakinukisha Hadi Kwa spika nyie mnalialia tu.


Wizara zipo hapo udom.... Fungeni wizara ya elimu au mambo ya nje Kwa nusu saa tu wataleta maji.

Upumbavu kama huu ndo CCM inaufurahia.
Yaani wanawatesa sana wanetu,wanakazi ya kupata ajali karibu na chuo!
 
UDOM nadhani ni chuo kinachoongoza hapa Tz kwa uchafu hasa kwa sababu ya ukosefu wa maji.niliwahii kaa kwenye hayo mabweni siku tatu niliona kama nimekaa miaka mitatu.Yaani.choooni mabomba yalishango'lewa miaka mingi
 
Viongozi wengi wa kiafrika ni sadists!
Wanafurahia kuona wengine wakiteseka

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
sio aibu, ni ukiukwaji wa haki za binadamu na wanafunzi.
Maji ni uhai.
 
Mawaziri amkeni!Watoto wanateseka,Makonda vipi hapo?!!!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mmemkumbuka mheshimiwa.Makonda si mlikua mnamkaa pambaneni sasa 😁😁😁
 
Huyu anajua kuwa lift ya hall 2 pale UDSM huwa haifanyi kazi mara nyingi???
Najua mkuu ila sasa UDOM malalamish yamezidi yan daaah na wala sijasema kwa ubaya ila serikali ya bongo ina mambo ya kipuuz, hawajui kuset priorities hela zinachezewa tu hovyo hovyo aisee
 
Sio udom tu
Me naona inshort dodoma nzima haikutakiwa kuwa na watu ingebaki tu Kama reserved area ya kijangwa Maan huku nipakavu sana maji ni mgao Hadi mjini
Imagine napokaa maji yanatoka Mara 2 kwa week afu ndo makao . Makuu asee
Yani kila sehemu ni mvua tu lakini dodoma Sasa duh pakavu ata manyunyu tu hamna
 
Dr yuko busy kununulia watu tickets 30000 hata kufikiria kuhusu maji chuoni hafikirii anawaza uchaguzi tuu.
Na wanachuo nao ma bogus hata kugoma hayagomi. Tungekuwa tunarudisha siku nyuma enzi zetu tungeenda kujisaidia chamwino ikulu.
Inaonekana wewe ilikuwa kiongozi wa kunji". Mzee wa Solidarity forever solidarity forever. Enzi hizi zilikuwa tamu Sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…