KERO Chuo kikuu cha UDOM College of Education (CoED) hakina maji kwa zaidi ya wiki sasa

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Maji ni uhai,wanahusika wasifanye masihara kabisa,ni maisha ya watu badala ya kusoma kwa makini mwanachuo anawaxa maji!kweli tutafika huko tuendako kwapango huu wa kukosa maji!
UDOM ni kama shule ya msing, kidumu na ufagio🤣🤣
 
Ndo maana li elimu la Tanzania halina ubora. Mtu yuko chuo anajisaidia kichakani. Ustaarabu wa wapi. Nashukuru mtoto wangu alikiponda hicho chuo kuwa ni cha kata, mnasoma na fisi na nyoka.
Bora Mwalimu Nyerere kuliko hii kitu aisee😀😀
 
Yale mapori yanawasaidia sana, walimu watarajiwa. Yaani CoED kuna liana flani hivi.
 
Siku mnawasurprise kwa kuamkia hapo bungeni na mabango, tatizo vyanachuo vya siku hizi vinasikiliza nyimbo za zuchu hata uwezo wa kufikiri mambo ya maana hamna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…