CIA akiri kumuua Bob Marley akiwa hoi kitandani

Damn,Ndiyo maana chuki zangu na U.S.A haziwezi kwisha.Let Bob Rest in peace.
Na waarabu waliowabaka waafrika enzi za utumwa,wakawaasi na kuwalawiti,nao vipi chuki yako na waarabu iliishaje?
Au dini moja imesawazisha,
Kuna kitu nadhani haukijui,
Tawala zoote za kidunia ni za kishetani,maana zinaua na kutesa wasio wa mlengo wao ili kujilinda,narudia tena serikali zoote hata hii ya nanii za kishetani maana zinamwaga damu ya wasiohatia kujilinda
Sasa ukutaka kuwa sawa chukia serikali zooooote
 
Kisayansi inaambukizaje?
Mkuu, kwa kesi ya huyu Bob kilichofanyika ni kumwekea virusi vinavyosababisha kansa.
Kumbuka Human papillomavirus inasababisha kwa binadamu ndio maana hata huyo jamaa kasema "The nail in the shoe was tainted with cancer viruses and bacteria. If it pierced his skin, which it did, "
 
Umefikiri na kutamka kwa msukumo wa chuki na kutetea mlengo wako,
Niambie ni serikali gani duniani haifanyi ujasusi na ushetani kujinda,ukiskia mashirika ya kijasusi usidhani ni kushangilia kwa mapambio,hata humu humu kwetu yanatendeka sana,
 

Babylon system is the vampire, yea! (vampire)
Suckin’ the children day by day, yeah!
Me say: de Babylon system is the vampire, falling empire,
Suckin’ the blood of the sufferers, yea-ea-ea-ea-e-ah!
Building church and university, wo-o-ooh, yeah! –
Deceiving the people continually, yea-ea!
Me say them graduatin’ thieves and murderers;
Look out now: they suckin’ the blood of the sufferers (sufferers).
Yea-ea-ea! (sufferers)

REDEMPTION SONG.
 
Kazi nyingine ni za kishetani.
Wajinga wametolea macho CIA tu sababu dini zao zinaichukia amerika wanasahau hii kazi ya ujasusi na kuua ama kutesa ili kulinda maskahi ya watawala ipo hata kwetu,ipo kwa serikali zoote
Kikubwa tunachopaswa kukijua ni kuwa serikali za dunia ya sasa ni chukizo kwa Mungu na ni mawakala wa ushetani,chunguza tu wanayofanya yanavyopingana na Mungu
 
Hata watesi wa li suu kuna siku watafikia hapo na wasipate faraja
 
Not redemption song mkuu
Babylon system
 
Mkuu vipi mbona unadandia gari kwa mbele?yaani mi kuichukia u.s.a we inakuuma,any way Bob is my Role model.
 
Nikataka majibu ya sayansi sio majibu ya wasomi.
 
Nikataka majibu ya sayansi sio majibu ya wasomi.
Hiyo sayansi tunafundishwa na hao wasomi mkuu.
Wakipanga kutulisha matango pori tutakula tu maana wao wana uwezo na kila kitu na sisi tunakariri toka kwao. Na hapa ndipo wanapotukamata na conspiracy zao.
 
Ipo siku atajitokeza mtu na kusema alihusika na kifo cha Michael Jackson...
 
Usalama wa mtu anaye guarantee ni Mungu tu , maana mbaya wako anaweza kuwa hata daktari na akakuangamiza badala ya kukuponya.
No 1 will alive forever
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…