Citizen Tv ya Kenya yaomba msamaha kwa matumizi ya "Ukaidi wa Magufuli"

Unajua ujinga wenu ni kuamini mnachofanya ni sawa? Ila FYI sidhani kama ur approach on coronavirus is effective!
The bubble is bursting. I'm told Tanzania had 35 new infections. Let's wait and watch.
 
Kwahivyo umekubali hakuna ushahidi wowote ambao unaweza ukakua reproduced kuhusu hilo ombi la msamaha 😂 😂 😂 😂

Hebu imagin ni kuchape kofi mbele ya watu wengi na ibaki kua story tu, au ni kuchape mbele ya watu na jamaa wawe wana rikodi kwa camera na hio video ibaki mtandanoni forever yani permanent record ya kwamba siku flani, mwezi flani na saa flani, nilikutwanga kibao cha hali ya juu sana!
 
Bado unabishana kishamba!
Hii tweet nimeifuatalia aliye iandika ni mtangazaji wa citizen tv,
Halafu sasa wataapologize wiki nzima 😂😂😂
Halafu nikikuambia una akili fupi kama sabuni za lodge unasema nakutukana.
 
Bado unabishana kishamba!
Hii tweet nimeifuatalia aliye iandika ni mtangazaji wa citizen tv,
Halafu sasa wataapologize wiki nzima 😂😂😂
Halafu nikikuambia una akili fupi kama sabuni za lodge unasema nakutukana.
Handle ya Mtangazaji wa Citizen si Citizen TV, Angalau ungenionyesha kwamba hio comment ya Lilian muli ilikua retweeted au liked na Citizen TV ndo tuone Official endorsement by Citizen TV...


Lakini hata huyo mtangazaji wa Citizen, bila kusema maneno mengi ameonyesha kwamba sababu kuu ya kufanya hivo ni kwasababu Citizen TV inataka kuingia ndani ya Soko la Tanzania kama vile Nation Media Group kwahivyo inabidi wacheze long game, manake JPM akizulia Citizen TV kuingia TZ ni pesa watakua wanakosa hizo!

Hata naona wakenya kadhaa wameshaeewa ni katika hali ya kibepari ndio Citizen imefanya hivyo kwahivyo Citizen imepewa "stamp of approval" kutoka kwa K.O.T



 
Hivi haelewi uhusiano kati ya mashabiki wa stesheni na kampuni kuvutiwa kutangaza adverts zao kwa stesheni hio? kwani hivi una miaka mingapi wewe??
Now mada imehamia kwenye matangazo baada ya kukukamata na ubishi wako.
 
Upuuzi mtupu, kadanganyaneni wenyewe huko, tangu lini JPM alizima Citizen TV isionekane TZ...

Halafu mnajiita mabepari wakati mabepari wanaoongoza kwa utajiri zaidi na kutambulika kimataifa kutoka EA wote in kutoka TZ.
 
Upuuzi mtupu, kadanganyaneni wenyewe huko, tangu lini JPM alizima Citizen TV isionekane TZ...

Halafu mnajiita mabepari wakati mabepari wanaoongoza kwa utajiri zaidi na kutambulika kimataifa kutoka EA wote in kutoka TZ.
Waarabu na Wahindi tupu.
 
Wanaomba msamaha wakati tulishasoma zaburi 35 na 109 kwa wale wote waliomtukana rais wetu? Wamechelewa!
 
Ukaidi wa Magufuli- I do not understand why Citizen had to prostrate this low but they will be proven right in their warning in due course
 
true story btw....
ukweli haufichiki
 
Cha kuchekesha Twitter wanaweka picha ya parachichi vs Rais halafu wanapiga kura na parachichi inashinda[emoji1787]

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
kikikikiiii
aisee!
 
Jaribu tena jombaa. Hata CNN ya Marekani pia tuliizomea sana. Rejea upya na mfano unaoendana na hoja anayojaribu kuwasilisha ukitumia mifano kutoka kwa media zenu uchwara, za umbea na ubabaishaji. Shukran.
LOL you needed every single Kenyan on Twitter to participate for the CNN to respond, sisi ni call moja tu ya balozi imefanya mvurugiko mzima wa week huko citizen tv
 
Sure.
 
nice story.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…