Citizen Tv ya Kenya yaomba msamaha kwa matumizi ya "Ukaidi wa Magufuli"

Citizen Tv ya Kenya yaomba msamaha kwa matumizi ya "Ukaidi wa Magufuli"

Ukiona wanarusha live stream kwa youtube ujue kuwa hiyo live stream inaonekana pia kwenye tv yako hapo nyumbani,
Wakenya milioni ngapi wanatizama citizen tv?
Kingine ilikuwa ni kipindi cha habari,
Kipindi cha habari kinafuatiliwa na wakenya wengi ili wafahamu kinachoendelea nchini kwao,
Kilaza una akili fupi halafu unadhani kila mtu ana akili fupi kama wewe..hapo ndipo unapokosea,
Binafsi niliona twitter kule mkenya kapost nikacopy hiyo tweet nikaipost humu then ukakurupuka kuniquote nikaenda youtube nikatafuta hiyo video nikaileta humu,
Akili fupi kama sabuni za lodge [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwahivyo umekubali hakuna ushahidi wowote ambao unaweza ukakua reproduced kuhusu hilo ombi la msamaha 😂 😂 😂 😂

Hebu imagin ni kuchape kofi mbele ya watu wengi na ibaki kua story tu, au ni kuchape mbele ya watu na jamaa wawe wana rikodi kwa camera na hio video ibaki mtandanoni forever yani permanent record ya kwamba siku flani, mwezi flani na saa flani, nilikutwanga kibao cha hali ya juu sana!
 
Kwahivyo umekubali hakuna ushahidi wowote ambao unaweza ukakua reproduced kuhusu hilo ombi la msamaha 😂 😂 😂 😂

Hebu imagin ni kuchape kofi mbele ya watu wengi na ibaki kua story tu, au ni kuchape mbele ya watu na jamaa wawe wana rikodi kwa camera na hio video ibaki mtandanoni forever yani permanent record ya kwamba siku flani, mwezi flani na saa flani, nilikutwanga kibao cha hali ya juu sana!
Bado unabishana kishamba!
Hii tweet nimeifuatalia aliye iandika ni mtangazaji wa citizen tv,
Halafu sasa wataapologize wiki nzima 😂😂😂
Halafu nikikuambia una akili fupi kama sabuni za lodge unasema nakutukana.
 
Bado unabishana kishamba!
Hii tweet nimeifuatalia aliye iandika ni mtangazaji wa citizen tv,
Halafu sasa wataapologize wiki nzima 😂😂😂
Halafu nikikuambia una akili fupi kama sabuni za lodge unasema nakutukana.

Handle ya Mtangazaji wa Citizen si Citizen TV, Angalau ungenionyesha kwamba hio comment ya Lilian muli ilikua retweeted au liked na Citizen TV ndo tuone Official endorsement by Citizen TV...


Lakini hata huyo mtangazaji wa Citizen, bila kusema maneno mengi ameonyesha kwamba sababu kuu ya kufanya hivo ni kwasababu Citizen TV inataka kuingia ndani ya Soko la Tanzania kama vile Nation Media Group kwahivyo inabidi wacheze long game, manake JPM akizulia Citizen TV kuingia TZ ni pesa watakua wanakosa hizo!

Hata naona wakenya kadhaa wameshaeewa ni katika hali ya kibepari ndio Citizen imefanya hivyo kwahivyo Citizen imepewa "stamp of approval" kutoka kwa K.O.T

1587037208182.png


1587037278107.png
 
Hivi haelewi uhusiano kati ya mashabiki wa stesheni na kampuni kuvutiwa kutangaza adverts zao kwa stesheni hio? kwani hivi una miaka mingapi wewe??
Now mada imehamia kwenye matangazo baada ya kukukamata na ubishi wako.
 
Upuuzi mtupu, kadanganyaneni wenyewe huko, tangu lini JPM alizima Citizen TV isionekane TZ...

Halafu mnajiita mabepari wakati mabepari wanaoongoza kwa utajiri zaidi na kutambulika kimataifa kutoka EA wote in kutoka TZ.
Lakini hata huyo mtangazaji wa Citizen, bila kusema maneno mengi ameonyesha kwamba sababu kuu ya kufanya hivo ni kwasababu Citizen TV inataka kuingia ndani ya Soko la Tanzania kama vile Nation Media Group kwahivyo inabidi wacheze long game, manake JPM akizulia Citizen TV kuingia TZ ni pesa watakua wanakosa hizo!
Hata naona wakenya kadhaa wameshaeewa ni katika hali ya kibepari ndio Citizen imefanya hivyo kwahivyo Citizen imepewa "stamp of approval" kutoka kwa K.O.T

View attachment 1420788

View attachment 1420791
 
Upuuzi mtupu, kadanganyaneni wenyewe huko, tangu lini JPM alizima Citizen TV isionekane TZ...

Halafu mnajiita mabepari wakati mabepari wanaoongoza kwa utajiri zaidi na kutambulika kimataifa kutoka EA wote in kutoka TZ.
Waarabu na Wahindi tupu.
 
Wanaomba msamaha wakati tulishasoma zaburi 35 na 109 kwa wale wote waliomtukana rais wetu? Wamechelewa!
 
Ukaidi wa Magufuli- I do not understand why Citizen had to prostrate this low but they will be proven right in their warning in due course
 
Kaka hata Kenya wajifungie ndan kwa mwaka...hatuwez kuwafikia wale....sie tunasua sua tu .kama toto linaloanza tembea likishikwa kuhara linarudi kukaa ...! Km tuna unyafuzi vile akilini...hatuwez wapita wale! Watashake tu lakini hawawez kuwa kama sisi!
true story btw....
ukweli haufichiki
 
Cha kuchekesha Twitter wanaweka picha ya parachichi vs Rais halafu wanapiga kura na parachichi inashinda[emoji1787]

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
kikikikiiii
aisee!
 
Jaribu tena jombaa. Hata CNN ya Marekani pia tuliizomea sana. Rejea upya na mfano unaoendana na hoja anayojaribu kuwasilisha ukitumia mifano kutoka kwa media zenu uchwara, za umbea na ubabaishaji. Shukran.
LOL you needed every single Kenyan on Twitter to participate for the CNN to respond, sisi ni call moja tu ya balozi imefanya mvurugiko mzima wa week huko citizen tv
 
Wako sahihi sana wakenya, pia usipokubali ukweli utashindwa kutoa ushauri wa maana, binafsi wanatuonea huruma sana sisi, na mara nyingi ni wawazi,wakweli na wenye kujitoa, mfano walirudisha dhahabu, walitupa misaada tetemeko Kagera, lakini waliweza kujizuia tulipochoma vifaranga, hawa jamaa wana utu wa ukweli!
Sure.
 
Kenya ni nchi inayokataa ukweli kuwa Tanzania imeanza kuipita kiuchumi na kiakili kwa hiyo kazi yao ni kutuchafua tu , hapo chini utaona link utasoma curfew ilivyoleta hasira za maskini , njaa , umaskini na vifo Kenya, watu wanavyouawawa na askari Kenya wanataka na Bongo muuwane kama wao, wengine wamevunjwa mikono na miguu na wengine wanakufa katika vurugu za kugombea chakula cha msaada!!

Katika ukuaji uchumi mwaka 2019 Tanzania 6.8 iliipita Kenya 5.7 mbali kabisa ni lazima watuchukie na watuchafue sana tu na wasipofanya hivyo hawatuwa na akili timamu!! Ukweli wanamchukia sana Rais wetu na wengine wanatamani awe wa kwao!! wanamwita Bulldozer!

Kenya ni nchi inayonuka rushwa wenyewe wanaita ‘nchi ya kitu kidogo’ na wakenya hawaamini wala kukubali ukweli kuwa Rushwa ya bongo inakata roho! wanamchukia sana Rais wetu kwa kukomesha rushwa! kwakuwa kila kibaya kilicho Kenya wanataka na bongo kiwepo!

Bongo tumepewa maelekezo jinsi ya kujikinga na shule zimefungwa daladala level seat, karantini kama zote, kila nyumba ina ndoo ya maji na sabuni, anga limefungwa na mengine mengi kuambiwa kuomba Mungu ni ziada tu ya tahadhari, sisi ni masikini we cannot afford lockdown, haya soma wakenya tabia zao!!

Tanzania si nchi masikini kama Kenya maana masikini huzidiana hii ni dhana ya kizungu inaitwa ‘poorest of the poor’ , au pauperism!!! Kenya sasa watu wanakufa kwa njaa na vyombo vya habari vya ulaya na marekani vinaripoti nami nimeweka links chini wasomi mjisomee wenyewe lockdown ya Kenya my foot!werevu mwingi mbele giza!!

Kenya ni nchi masikini sana ni sawa ikiwekwa LOW INCOME COUNTRY , nchi yenye mbwembwe sana, ni nchi ya jiji moja tu linaitwa Nairobi resources za nchi nzima zinawekwa hapo kupumbaza wageni, ambao ni wengi mno wanaorubuniwa na Suti kila mtu na English speaking ya kila mtu hadi mama ntilie!

Kenya ni nchi yenye ukame sana hakuna mvua za maana wakisema na kutulaumu kuwa sababu kuu ya ukame ni kuwa sehemu kubwa ya mvua zake za msimu wanadai zimeshikiliwa huku bongo , Kenya pia kuna baa kubwa sana la nzige wengi mno wanaotafuna mazao na miti , nzige ambao wakenya wanataka sana waje bongo ila bahati mbaya nzige wale wako na love na Kenya tu , sehemu kubwa ya ardhi ya Kenya hailimiki, nchi hii inategemea sana chakula kutoka bongo na pesa ya kigeni kutoka kwa mashirika ya kigeni yenye makao makuu mjini Nairobi kwa Africa Mashariki kutokana na hali ya hewa ya baridi ivutiayo wazungu kuishi humo. Kutokana na Covid19 effects mashirika mengi ya nje labda tunategemea yatafunga ofisi zao Nairobi kutokana na ukata na hilo litawazidishia wakenya njaa na kukosa ajira na machafuko ya kisiasa wasipojituliza na watakumbana na mifarakano ya kifamilia na kijamii!

Kenya ni nchi yenye mashirika mengi ya kijamii na vituo vya watoto yatima vinavyotegemea donations kutoka nje. vijana wengi wamejipatia ajira katika sector hii ambayo pia inaingiza pesa nyingi ya kigeni nchini Kenya! wakenya ni mabingwa wa kuandika very appealing funding proposals!! Tunasikia sasa vituo vya watoto na watu masikini misaada toka nje imekata Kenya ni wa kuwaombea, kujidai uzungu sana ni shida wazungu wakiondoka kama sasa hawapo unakufa njaa!!

Kenya ni nchi masikini sana inayotegemea sana uchumi utokanao na pesa zitumwazo kwa ndugu kutoka kwa jamaa zao waishio nje hasa Marekani na kidogo ulaya. Na sasa kwa janga hili la Corona kuipiga sana USA na Europe wakenya walioko kule ughaibuni hivi sasa wako ndani hawafanyi kazi na hawana pesa za kutuma Kenya sasa ndugu zao walioko Kenya wanahangaika sana na kutapatapa sana kwa kukosa chakula because of No more coming Remittances! tunadhani kwa lack of food wengi watakufa na njaa na wengine wengi sana watakimbilia Tanzania kujikwamua sasa na tukague sana njia za panya mpaka wa Bongo na Kenya! kuna wakenya wanne nilisikia wamepita njia za panya na kuingia bongo na wamekamatwa na kuwekwa karantini!!

Kenya ni nchi yenye bahati mbaya sana ya kushambuliwa mara kwa mara na wababe wa vita Al Shabab kutokana kuwa na idadi kubwa ya askari wao wanaolinda amani Somalia na madai kuwa inafuga ‘Somali fugitives’ na Kenya inasema haiko tayari kukubali kuondoa askari wake huko, watu hawa wanaoshambulia hunishangaza sana wanasema kuna wasomali million tatu wanaishi Kenya huko Mandera, Nairobi na Kajiado County na pia kwakuwa siku moja nilipita mji wa Bisil na niliona kuna wasomali mji huo mzima! Al Shabab hawana shukran!!

Guest houses Nairobi hasa mtaa wa River Road zamani niliona wanawekwa makahaba ndani na mgeni anaulizwa kama anahitaji huduma na pia baadhi ya hotel unaulizwa kama unaweza kuchangia room na mtu usiemjua ili mlipie usingizi nusu kwa nusu,wanajifanya mabepari mno!!

Kenya kuna tycoons wachache sana wanaomiliki utajiri mkubwa na ardhi kubwa hata wilaya nzima na asilimia tisini ya raia wake ni maskini wa kutupwa, wanaita ‘willing to sell and willing to buy’ yaani maskini wanauza ardhi na wanadidimia matajiri wanapaa mawinguni!! Nani mkenya asiejua stori ya marehemu baba yetu Rais mpendwa alieanza safari yake Nairobi na kutoa kidole nje akasema ardhi hii ni mali yangu nitafuga ‘majongoo’ (majogoo) mengi humu mara akapitiwa na usingizi gari ya mkuu inakimbia sana mkuu akashtuka toka usingizini kuangalia nje akaona jiji la Nakuru akasema mwisho wa ardhi yangu ni hapa!!! Gap kati ya masikini na tajiri ni kubwa mno nchini Kenya,

Kenya hasa Nairobi hujui nani mfanyakazi nani jobless wote wana suti kali! kila mkenya ukikaa nae anaongea siasa tu na hujiona ana akili zaidi kuliko mkenya mwenzake na wakiona mbongo uko nao watataka wakuoneshe wao wakenya wana akili zaidi kuliko wewe mbongo nasi wabongo huwa tunawakejeli tu hata ukiona kachemka anafuka moshi tu husemi! picha nzuri inanoga wakikutana mkikuyu na mjaluo wanaoneshana nani mjuaji zaidi katika ishu mnayoongea wewe mbongo piga kimya utacheka sana!! Japo kuna watu poa sana kama somebody called Sonko niliona alisaidia funeral service costs ya one poor family nikasema kuna wakenya few BLESSED ones like SONKO sijui cheo chake huko Kenya!


nimeenda Kenya more than 50 times, nimefanya nao kazi , nimesoma nao class na nimeattend nao seminars kibao! nawajua wakenya in and out!!nami nawasihi wabongo msome vizuri hapa muwaelewe psychology yao kuwa saa zote wao wako kwenye competition na bongo kwa njia halali na haramu!! ila ni kichekesho kikubwa sababu bongo haina time nao inafuata njia yake!!

ukipita pale namanga kuelekea Nairobi zamani unaulizwa utaje nani mwenyeji wako huko, unaenda kukaa mtaa gani unaenda kufanya nini na utakaa siku ngapi na unarudi kwenu bongo lini na vipi umeshachukua chenji wapi , basi maswali millioni!! hawataki ukakae kwao!!!!!i talk from experience,

Kenya huwaambia watalii kabla hawajaja kuwa Kilimanjaro na Olduvai Gorge ziko Kenya watalii wanashukia Kenya wanalala mahotelini na kushangazwa kesho yake au baada ya siku kadhaa washaingiza pesa wanapandishwa Coasters kuletwa Tanzania kupanda mlima Kilimanjaro!!

Kenya huwaambia watalii waje kuona Nyumbu kwa maelfu wako Masai Mara national park kumbe Nyumbu hukaa miezi kumi Serengeti na miezi miwili tu ndio hukaa Masai Mara na sio wote wanaokwenda huko wengi hubaki Serengeti ndio home kwao!!!

Kenya siku hizi kila mgonjwa wa Corona husema ametoka Tanzania, yaani bongo ni kiwanda cha kuzalisha Coronavirus!!wao hawataki ijulikane wagonjwa huanza kuumwa kwao!! ila wagonjwa wanavyozidi kila kukicha watataja tu huyu wa KIBERA SLUMS!!

Nairobi ukiomba mtu akuelekeze mahali akisikia kiswahili cha bongo anakupoteza unaenda mtaa mwingine wa mbali mno! huko nako unapotezwa kama huna mwenyeji unaweza kuzungushwa siku nzima ni watu wa ajabu mno kutoka Mars wanachukia sana wabongo kimya kimya! wa kuuliza njia ni askari wasimamao barabarani Kenya wanaiga mkoloni ‘standing army’

taxi driver Nairobi kama uko mfano Msimbazi unamuomba akupeleke Ilala kama huujui mji anaenda kuzungukia Mwenge then ubungo kisha Buguruni then Ilala ili ulipe maradufu! mf kutoka Kenyata Road to Tom Mboya ni karibu ataenda kuzungukia Mombasa road!! jamaa hawana dini aisee pesa mbele!!

Kenya ni nchi ya pili duniani kwa kuomba na kupokea rushwa, haitaendelea kamwe! viongozi wanashindana kuiba tu tangu uhuru hadi mwisho wa dunia! Wakenya hudhani kila mgeni aendae kwao ni tajiri na wanaokuhudumia au mlinzi wa hotel huitwa ‘soldier’ hukwambia ‘ndugu hujabakiza chenji kidogo nipate chai!’, hata siku moja niliombwa chai airport!!

Kenya katika siasa hakuna adui wala rafiki unachoangalia uungane na nani mwenye wapigakura wengi ili ushinde cheo au kiti bila kujali yuko upinzani au serikalini , siasa ni calculations!! na ulieungana nae akipoteza ushawishi unampiga chini! wale wanasiasa wenye ushawishi mkubwa akikosea hesabu wanampoteza! kama George Saitoti na Tom Mboya vifo vyao vinasumbua wakenya!! kwa Corona hii tutegemee sana kusikia UFISADI wa kutisha kufanyika huko Kenya kuliko ule wanamshutumu Makamu wao wa Rais!!because of threat of Covid19 kila afisa wa kaunti atataka kujiwekea akiba!!!

Kenya ni nchi yenye ukabila uliopitiliza kati ya Kikuyu na Jaluo! Mgombea wa nafasi za kisiasa hutegemea zaidi kuchaguliwa na watu wa kabila lake zaidi ya wengine! Wananchi wa mikoani ni masikini wa kutupwa siku moja nikiwa njiani kwenda Kampala niliona watoto zaidi ya 50 wote wako peku wanaenda skuli mjini Kisumu!!

Mkenya akiajiriwa bongo mwezi mmoja atajifunza kazi mnayofanya na ataiboresha na kujifanya anajua kuzidi nyie na mtamuamini sana kwa English yake ya is and was!! Kenya ni nchi yenye waalimu wengi wa Kiingereza bongo ambao yasemekana wengi hawana vibali vya kuishi wala kufanyia kazi, ni rahisi kwa ngamia kupita katika tundu la Sindano kuliko wakenya kuruhusu mbongo afanye kazi Kenya!!

Kenya ni nchi yasemekana imepiga hatua kubwa katika demokrasia ya siasa za vyama vingi, ina katiba nzuri na tume huru ya uchaguzi ikiruhusu matokeo ya uchaguzi kupingwa mahakamani na huweza kutenguliwa pia! hapa nawapa tano!!

Kenya itaachwa mbali sana kiuchumi na bongo iwapo Rais wetu ambae ni imara sana duniani akimaliza muda wake atapokewa kijiti na mzalendo mwingine kama yupo!!! Kenya haina ubavu wa kuizidi bongo kiuchumi tukiacha wizi, uvivu na ufisadi! mwaka jana tumeipita na haturudi nyuma!! They have been put in the place they deserve, LOW INCOME COUNTRY! but for us nadhani wamekosea they need to review ASAP!

https://www.washingtonpost.com/worl...0a8c4e-79be-11ea-a311-adb1344719a9_story.html

Food security: Thousands of Kenyans face starvation

Kenya accuses Somali army of 'unwarranted attack' on border town

9 die as drought and hunger hits northern Kenya

It is sad day for Kenya, years after independence Kenyans still die of hunger | PERSPECTIVE : SDV

Orphanages in crisis as Covid-19 dries up donations

COVID-19: mad rush for food aid in Kenya creates stampede | Africanews

https://www.google.no/amp/s/www.washingtonpost.com/world/africa/stampede-in-kenya-as-slum-residents-surge-for-food-aid/2020/04/10/3fbbd530-7b33-11ea-a311-adb1344719a9_story.html?outputType=amp

Kenya tackles headwinds backed by robust remittances


WAKENYA MLIOKO JF NJOONI MNIJIBU!!
nice story.
 
Back
Top Bottom