EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Hujaenda Kigoma wakati wanaamsha watu kuswali alfajiri ni full kutishana kama una demu chumbani unaweza kuahirisha mechi ya morning glory 🤣🤣🤣Mazishi ya kikristo nimehudhuria mengi ila mahubiri hayatishi kama ya kiislam. Ya kiislam hata kama ni mtu wa totoz na gambe unaweza stop kdg
No!no!no!Nasikia na koromeo wanakata [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
.Waislamu kwenye mazishi na ndoa wana utamaduni mzuri sana
Funzo lisilo na kikomo?Kifo ni funzo kwa ajili ya walio hai na Sio waliolala
Hilo halimanish wafu wanahukumiwa maana wafu hawajui Jambo lolote kamwe soma tena vizuri..Haya hata ukienda kwenye misiba ya kikristo ukakuta mchungaji kajipanga anakupiga injili hadi unatubu hapohapo.
Maana sisi wakristo hatuombei mfu tunadili naliobaki hai kwaio unapigwa injili ya maana👇🏻👇🏻👇🏻
Waebrania 9:27
[27]Na kama vile watu wanavyowekewa kufa mara moja, na baada ya kufa hukumu;
And as it is appointed unto men once to die, but after this the judgment:
Sasa kwann uliingiza ktk mada yakoo??Na mna hamu ya kuongelewa nyie
Unaendelea kulazimisha niwaongelee tu.Sasa kwann uliingiza ktk mada yakoo??
See me tmrwHilo halimanish wafu wanahukumiwa maana wafu hawajui Jambo lolote kamwe soma tena vizuri..
Muhuri 9:5 Kwa maana walio hai wanajua kwamba watakufa, lakini waliokufa hawajui jambo lolote kamwe, wala hawana thawabu tena, kwa sababu kumbukumbu lote kuwahusu limesahauliwa.
Sasa kwann uliingiza ktk mada yakoo??
Akikujibu nitag mkuu.Unajihusisha na ushoga???
Ndo lengo la uzi wako lilikua hili, yaan bila kuzungumzia hamjisikii ahueni.Unaendelea kulazimisha niwaongelee tu.
Mie nimefikisha ujumbe kwamba shehe alisema hizo haki mnazoziita za binadamu mkumbuke pia kuna haki za Muumba wenu aloweka jinsia mbili, ME na KE. Sasa haki zenu zinavyowatoa akili mkataka ME awe KE na KE awe ME ndipo tayari mna-subscribe kwenye ukichaa uliohalalishwa na watu waliokosa aibu, soni na akili
Aliye izungumzia ndo anahusika, mie nimehoji.Unajihusisha na ushoga???
Kweli shetani ana nguvu,kuhama ndo ukaona soln!badala ya kuhudhuria ibada?Kuna kipind nilikuwa naishi karibu na msikiti, sasa wakipiga ile adhana ya asbuhi lazm usingiz ukate, wakisema kuhusu kifo utasikia "huo usingizi unaolala ndio njia ya kuelekea kifo, hiko kitanda unakolalia ndio jeneza lako na chumba ukicholala ndio kabur lako amka ukafanye ibada" yaan ukiskia hayo mambo stim za usingiz zinakata zote
Ilibid nihame pale sehem maana unaeza jiona huna kitu Chochot
Aliye izungumzia ndo anahusika, mie nimehoji.
Kosa liko wapiii??