Clip ya RC Chalamila imenikumbusha mara ya kwanza nilipohudhuria mazishi ya kiislamu. Yale mafundisho nlopata pale huwa yananirudia akilini

Clip ya RC Chalamila imenikumbusha mara ya kwanza nilipohudhuria mazishi ya kiislamu. Yale mafundisho nlopata pale huwa yananirudia akilini

Mazishi ya kikristo nimehudhuria mengi ila mahubiri hayatishi kama ya kiislam. Ya kiislam hata kama ni mtu wa totoz na gambe unaweza stop kdg
Hujaenda Kigoma wakati wanaamsha watu kuswali alfajiri ni full kutishana kama una demu chumbani unaweza kuahirisha mechi ya morning glory 🤣🤣🤣
Mara ooh kitanda ni jeneza mara oooh shuka ni sanda

Aaaahhrrrrrwalinikeraaaaa
 
Ulitaka kuzungumzia ushoga ila ukakosa namna ya kuwasilisha, ndo ukaja na huu uzi kusingizia mazishi ya kiislamu.
 
Waislamu kwenye mazishi na ndoa wana utamaduni mzuri sana
.
20230521_000537.jpg
 
katika uislam hotobu/mafunzo yanayotolewa baada ya maiti kuzikwa ni kwaajili ya walio hai na siyo kwaajili ya marehem, marehem yake yameshapita kinacho mfaa ni dua tu.
 
Haya hata ukienda kwenye misiba ya kikristo ukakuta mchungaji kajipanga anakupiga injili hadi unatubu hapohapo.

Maana sisi wakristo hatuombei mfu tunadili naliobaki hai kwaio unapigwa injili ya maanašŸ‘‡šŸ»šŸ‘‡šŸ»šŸ‘‡šŸ»

Waebrania 9:27
[27]Na kama vile watu wanavyowekewa kufa mara moja, na baada ya kufa hukumu;
And as it is appointed unto men once to die, but after this the judgment:
Hilo halimanish wafu wanahukumiwa maana wafu hawajui Jambo lolote kamwe soma tena vizuri..

Muhuri 9:5 Kwa maana walio hai wanajua kwamba watakufa, lakini waliokufa hawajui jambo lolote kamwe, wala hawana thawabu tena, kwa sababu kumbukumbu lote kuwahusu limesahauliwa.
 
Sasa kwann uliingiza ktk mada yakoo??
Unaendelea kulazimisha niwaongelee tu.

Mie nimefikisha ujumbe kwamba shehe alisema hizo haki mnazoziita za binadamu mkumbuke pia kuna haki za Muumba wenu aloweka jinsia mbili, ME na KE. Sasa haki zenu zinavyowatoa akili mkataka ME awe KE na KE awe ME ndipo tayari mna-subscribe kwenye ukichaa uliohalalishwa na watu waliokosa aibu, soni na akili
 
Hilo halimanish wafu wanahukumiwa maana wafu hawajui Jambo lolote kamwe soma tena vizuri..

Muhuri 9:5 Kwa maana walio hai wanajua kwamba watakufa, lakini waliokufa hawajui jambo lolote kamwe, wala hawana thawabu tena, kwa sababu kumbukumbu lote kuwahusu limesahauliwa.
See me tmrw
 
Unaendelea kulazimisha niwaongelee tu.

Mie nimefikisha ujumbe kwamba shehe alisema hizo haki mnazoziita za binadamu mkumbuke pia kuna haki za Muumba wenu aloweka jinsia mbili, ME na KE. Sasa haki zenu zinavyowatoa akili mkataka ME awe KE na KE awe ME ndipo tayari mna-subscribe kwenye ukichaa uliohalalishwa na watu waliokosa aibu, soni na akili
Ndo lengo la uzi wako lilikua hili, yaan bila kuzungumzia hamjisikii ahueni.
Lol
 
Kuna kipind nilikuwa naishi karibu na msikiti, sasa wakipiga ile adhana ya asbuhi lazm usingiz ukate, wakisema kuhusu kifo utasikia "huo usingizi unaolala ndio njia ya kuelekea kifo, hiko kitanda unakolalia ndio jeneza lako na chumba ukicholala ndio kabur lako amka ukafanye ibada" yaan ukiskia hayo mambo stim za usingiz zinakata zote

Ilibid nihame pale sehem maana unaeza jiona huna kitu Chochot
Kweli shetani ana nguvu,kuhama ndo ukaona soln!badala ya kuhudhuria ibada?
 
Back
Top Bottom