EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Hujaenda Kigoma wakati wanaamsha watu kuswali alfajiri ni full kutishana kama una demu chumbani unaweza kuahirisha mechi ya morning glory š¤£š¤£š¤£Mazishi ya kikristo nimehudhuria mengi ila mahubiri hayatishi kama ya kiislam. Ya kiislam hata kama ni mtu wa totoz na gambe unaweza stop kdg
Mara ooh kitanda ni jeneza mara oooh shuka ni sanda
Aaaahhrrrrrwalinikeraaaaa