Clouds Media: Hatuhusiki na kumshitaki Makonda

Alikulala bila malipo?
Sasa unasubiri nini kwenda mahakamani?
 
Lazima wajilinde maana linaweza kuwaangukia...haijulikani Mama yupo upande upi kwa suala la hiki kiumbe 😆😆😆

Mama anauwezo wa kuchelewesha tu lakini jinai yake inaweza fumuka wakati wowote pale Mama atakapoachia kiti same same kama Ole Sabaya alimopitia
 

Huyo sasaasali hana analojua sawa na kibakuli. Wa Kaole group
 
Makonda alikuwa na ofisi yake mle mle mjengoni sasa atavamiaje ofisini kwake?

Siku ile alikuwa anakagua tu studio.
 
Alafu shahidi ataenda kuwa nani kama clouds wamesema hawakuvamiwa
 
Nimekupenda bure
 
Makonda alikuwa na ofisi yake mle mle mjengoni sasa atavamiaje ofisini kwake?

Siku ile alikuwa anakagua tu studio.
Kuna wakati nakuona kama zimo hivi ndiyo maana nikaku copy ili uone mawazo mgando ya wengine, kumbe nawe ni wale wale tu.
 
Sasali ni msemaji wa Clouds Media?
 
Wala sisi hatutaki kabisa mshiriki kumkamata na kumshitaki hapana, nyie mtakuwa mashahidi wetu, mtaitwa mahakamani kama shahidi no 1 wetu, kwa hiyo muwe na amani, tunajua nyie mnafanya biashara ya utangazaji (media) na hamtataka kujiingaiza kwenye mambo ambayo yanaweza kuharibu image yenu.

Ila kuwa shahidi si dhambi - maana utaapishwa kwamba utasema ukweli na Mungu akusaidie thats it.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…