Clouds Media: Hatuhusiki na kumshitaki Makonda

Clouds Media: Hatuhusiki na kumshitaki Makonda

Yaani umeonekana Kabisa Una Hofu kubwa ya Maovu uliyotenda....Tulia kaa kwa kutulia ulipie uovu wako...Kwanza Mtangazaji ana maamuzi Gani yeye sio Mkurugenzi sasa kwa akili zako muajiriwq tu ana maamuzi gani kwenye kampuni..Wakati Mwingine watz huwa mnaonyesha udhaifu mkubwa hata wa Kuelewa mambo madogo tu...Huna hata akili kidogo za kuelewa Hii ni Kampuni na Makonda aliivamia wanaojua nn kifanyike sio Mwajiriwa kama huyo mtu mdogo.....

Badala mjirekebishe muache uovu mnajificha eti ugaidi...jinga
Alikulala bila malipo?
Sasa unasubiri nini kwenda mahakamani?
 
Lazima wajilinde maana linaweza kuwaangukia...haijulikani Mama yupo upande upi kwa suala la hiki kiumbe 😆😆😆

Mama anauwezo wa kuchelewesha tu lakini jinai yake inaweza fumuka wakati wowote pale Mama atakapoachia kiti same same kama Ole Sabaya alimopitia
 
Hujui Sheria ya Jinai wewe
Mtu Binafsi hawezi kushtaki, ni Serikali ndio Inashtaki, Mtu Binafsi atakuja kama Shahidi Tu
Hao Clouds hawana Uwezo kisheria Kumshtaki Bashite, atashtakiwa na Serikali na wao watakuja Kama Mashahidi Tu.
Huyo Sam Kilaza Hana anachojua.
Kama alivyofanywa Jangili Sabaya.
Jua Serikali Ikimshtaki hachomoki
Na Clouds watakuja Kutoa ushahidi

Huyo sasaasali hana analojua sawa na kibakuli. Wa Kaole group
 
Wewe unasemaje, walivamiwa au hawakuvamiwa?

Siyo kwamba hawakuvamiwa, bali wao wanakana kuhusika kwenye kufungua kesi au kuhusika kutoa ushahidi wowote, (maana yake hawataki usumbufu).

Walivamiwa lakini wanaamua kuachana na hayo. Hilo halimuondolei jinai Makonda. Kama Jamhuri ikiamua kulianzisha, lazima apandishwe kizimbani.

Cc Elungata johnthebaptist
Makonda alikuwa na ofisi yake mle mle mjengoni sasa atavamiaje ofisini kwake?

Siku ile alikuwa anakagua tu studio.
 
Wewe unasemaje, walivamiwa au hawakuvamiwa?

Siyo kwamba hawakuvamiwa, bali wao wanakana kuhusika kwenye kufungua kesi au kuhusika kutoa ushahidi wowote, (maana yake hawataki usumbufu).

Walivamiwa lakini wanaamua kuachana na hayo. Hilo halimuondolei jinai Makonda. Kama Jamhuri ikiamua kulianzisha, lazima apandishwe kizimbani.

Cc Elungata johnthebaptist
Alafu shahidi ataenda kuwa nani kama clouds wamesema hawakuvamiwa
 
Clouds wana haki ya kutohusika maana kwao hilo neno lilishaisha

Ila wasiopenda amani, wanaohukumu wengine kwa kutumia historia, wenye chuki wataendelea kupambana na mambo yasiyo na tija wala maendeleo kwa jamii wala familia zao binafsi.





Makonda katulizana tuliii, waliokosewa washayamaliza lakini wapenda vita wameamua kumuinukia. Wataweza???

Anayefungua kesi ya makonda na clouds hana tofauti na mtu anayeenda kuhamisha msiba wa jirani na kuupeleka kwake
Nimekupenda bure
 
Makonda alikuwa na ofisi yake mle mle mjengoni sasa atavamiaje ofisini kwake?

Siku ile alikuwa anakagua tu studio.
Kuna wakati nakuona kama zimo hivi ndiyo maana nikaku copy ili uone mawazo mgando ya wengine, kumbe nawe ni wale wale tu.
 
Wala sisi hatutaki kabisa mshiriki kumkamata na kumshitaki hapana, nyie mtakuwa mashahidi wetu, mtaitwa mahakamani kama shahidi no 1 wetu, kwa hiyo muwe na amani, tunajua nyie mnafanya biashara ya utangazaji (media) na hamtataka kujiingaiza kwenye mambo ambayo yanaweza kuharibu image yenu.

Ila kuwa shahidi si dhambi - maana utaapishwa kwamba utasema ukweli na Mungu akusaidie thats it.
 
Back
Top Bottom