Clouds Media wafungiwa kwa siku 7, kwa kutangaza Takwimu za Uchaguzi ambazo hazijathibitishwa na Tume

Clouds Media wafungiwa kwa siku 7, kwa kutangaza Takwimu za Uchaguzi ambazo hazijathibitishwa na Tume

Clouds na TBC lao moja tu
Wamejua wamebugi step Lissu atawasha moto.

Clouds ni washenzi wanafurahia machungu ya upinzani
Let them pay the price.

NEC mmejichimbia kaburi TL hatawaacha salama
Waliokatwa majina yao yatarudishwa
Pingamizi hazina budi kuendelea
Gwajiboy ajiandae.

Kule Lindi na Mtwara Nape hili linamhusu
Tutaelewana tu
 
Ndio wajifunze sasa. Wanajiona wao ni untouchable kisa kumsifia jiwe na ccm yake kila siku. Wajue hakuna aliye salama kwenye utawala huu wa kimabavu.

Kwani TCRA Wameamua Kimabavu Ama Wamesimamia SHERIA....SHERIA ya takwimu........?!!!
 
Waandishi wengi wa habari Tanzania ni wapumbavu sana, hawajui kuhoji, makanjanja watupu na mbaya zaidi kwenye kurasa zao za kijamii ni wapiga kampeni wa CCM yani vimejaa upuuzi upuuzi na njaa njaa hadi vinatia kinyaa!
 
Hahahha... Chadema mnashangiliaaaa!

Kwa taarifa yenu hapa huu ni mtego kamwe tuendako hakuna kikaragosi kitakuja mbele ya tv au redio na kusema nmeahinda kisha arushwe hewani..

Nadhani mnakumbuka ya Seif 2015 kule Zenji.
 
Vyombo vya habari vingewasusia kushinikiza kuwa huru.

Ndiyo maana mgombea wetu ni huyu:


IMG_20200804_210728_515.jpg
 
Hahahha... Chadema mnashangiliaaaa!

Kwa taarifa yenu hapa huu ni mtego kamwe tuendako hakuna kikaragosi kitakuja mbele ya tv au redio na kusema nmeahinda kisha arushwe hewani.

Nadhani mnakumbuka ya Seif 2015 kule Zenji.
Kwa maneno mengine matokeo yatakayokuwa yanatangazwa ni yaliyotolewa na tume tu. Narudia, yaliyotolewa na tume tu..!

Sasa wewe jifanye Lisu alafu unaita vyombo vya habari na kusema nmeshinda kwa kura hivi na vile uone kama utaenda hewani, utaishia kusika na bavicha pekeao.

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Dadek ccm imejiandaa kuchinjilia mbali kabisa watu mwaka huu.

Na clouds pengine kwa hizo siku 7 za kuwa kimya watakuwa wanalipwa fidia. Usicheze na giant ccm kabisa.
 
Ndo wanaendelea hapa kuomba radhi hahahahaah huku wakiaindikizwa na ka mziki.
 
Wakurungezi waliokuwa wanawatangaza wabunge wa CCM na kuwathibitisha kwa hati kuwa ni wabunge wamepita bila kupingwa wameachwa wanafungiwa wale waliotangaza kile kilichotangazwa na wakurugenzi ambao ndio tume yenyewe.
Aiseee....
 
Back
Top Bottom