Kipapatiro
JF-Expert Member
- May 18, 2017
- 1,129
- 1,497
Oh tutaongea lugha moko soon
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamejua wamebugi step Lissu atawasha moto.Clouds na TBC lao moja tu
Comment mzuri sana yenye mashikoWamejua wamebugi step Lissu atawasha moto
Clouds ni washenzi wanafurahia machungu ya upinzani
Let them pay the...
Ndio wajifunze sasa. Wanajiona wao ni untouchable kisa kumsifia jiwe na ccm yake kila siku. Wajue hakuna aliye salama kwenye utawala huu wa kimabavu.
[emoji38][emoji38][emoji38]Watanzania wootee bila kujali itikadi na tofauti zetu tumuombe Mungu atujalie Rais mwanamke kabla ya uchaguzi mkuu oktoba 2020.
Waifungie tu Great Thinkers huwa hawasikilizi Clouds FM....alisikika mwanaJF mmoja akisema.
Duuh.....Wasiwafungie tu Bali wachukue na makatapila wakavunje na kusagasaga ofisi zao pale mikocheni karibu na mwai kibaki road.
Duh!
Ngoja nifungulie, sijaombwa msamaha muda mrefu saaana!
Kwa maneno mengine matokeo yatakayokuwa yanatangazwa ni yaliyotolewa na tume tu. Narudia, yaliyotolewa na tume tu..!Hahahha... Chadema mnashangiliaaaa!
Kwa taarifa yenu hapa huu ni mtego kamwe tuendako hakuna kikaragosi kitakuja mbele ya tv au redio na kusema nmeahinda kisha arushwe hewani.
Nadhani mnakumbuka ya Seif 2015 kule Zenji.
Walitakiwa wakifungie hicho kituo milele na milele na wang'oe kabisa mpk mitambo ya kurushia matangazo.Sasa wamefungua redio nzima badala ya hao waliokosea tu?.
Aiseee....Wakurungezi waliokuwa wanawatangaza wabunge wa CCM na kuwathibitisha kwa hati kuwa ni wabunge wamepita bila kupingwa wameachwa wanafungiwa wale waliotangaza kile kilichotangazwa na wakurugenzi ambao ndio tume yenyewe.