Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna professionalism.Tangu jasiri muongoza njia aondoke Mawingu imekuwa ya hovyo
Mbona vyombo vya serikali vikichukua hatua dhidi ya chama chako pendwa huoni kama chama pendwa kimekosea, kwanini unahisi tcra iko sawa kosa la kipindi kimoja imfungie vipindi vyote vya tv pamoja na redio.Hakuna professionalism.
Yani kosa la kipindi kimoja wamefungia TV na redio naona muda wote wanaomba msamaha na kupiga mziki tu. Kama kosa lilitokea clouds 360 kwanini wamefungia vipindi vyote?
Hii siyo sawa kabisa.
Unafungia chombo cha habari kwa kosa la watangazajiwa kipindi kimoja tena kwa siku saba, wangefungia basi kipindi maana kuna vipindi vingi ambavyo havifanya hilo kosa.Si sawa kwa kanuni zipi?
Unafungia chombo cha habari kwa kosa la watangazajiwa kipindi kimoja tena kwa siku saba, wangefungia basi kipindi maana kuna vipindi vingi ambavyo havifanya hilo kosa.
Uzuri lungu linashuka taratibu kila mtu litamgusa, tutaelewna tu.
Wanatangazaje bila ruhusa
Sina chama, tuanzie hapo kwanza.Mbona vyombo vya serikali vikichukua hatua dhidi ya chama chako pendwa huoni kama chama pendwa kimekosea, kwanini unahisi tcra iko sawa kosa la kipindi kimoja imfungie vipindi vyote vya tv pamoja na redio.