CLOUDS: Mishahara ya walimu inadhalilisha utu wao

Inaonesha wazi wewe ilikosa hii ajira. Waalimu hawa hawa au wengine ? Unafika shule ya Msingi kumefurika. Magari ndani ya parking ya Waalimu utafikiri showroom pikipiki hazina idadi .
Yani uyu jamaa namshangaa kinyama ao walimu wakuwadhihaki kila siku ni kwa faida ya Nan??? Alafu kwa nn statement zake ni za generalization?? Kweli kila mwalimu ni WA hovyo kama anavyo zani ?? Dah...izi sifa za kijinga kweli . Kwa nn asiandike barua ya wazi kwa Rais yeye mwenyewe akili na maona alisemee hili kundi lisilo na akili kama ambavyo amekuwa akisema?
 
Sasa kama unayatambua haya iweje uwaseme vibaya ???
 
daah jf ilipoa sana pasipo wewe mwanangu mpwayungu
 
Where did this happen!!?
 
Hauna uelewa wote kuhusu kipato,mwalimu Hana kipato nje ya mshahara,hao wote wengine Wana allowance kibao na wengine zinazidi mshahara
Kwa hiyo hao wengine wote wana allowance kibao?

Tufanye wewe ni mwalimu,Afisa kilimo mliye nae huko katani kwako ana alowance zipi kukuzidi wewe mwalimu?
 
Nilikuwa kilaza, nikaenda kusomea ualimu wa shule ya msingi kama Tate Mkuu
Kusomea ualimu hakuna uhusiano wowote ule na ukilaza wako. Wako walimu wengi tu mashuleni waliofaulu vizuri katika ngazi zao zote za elimu walizosoma.

Changamoto ni hii serikali yako isiyo jitambua! Na ambayo kwa namna moja au nyingine, imechangia kuwafanya walimu wa nchi hii, kudharauliwa hata na watu wasioijua kesho yao.
 
Walimu wengi ni waliofeli form four na form six
 
Mkuu basi uwe na adabu hata kidogo na changamoto wanazopitia walimu. Chochote kile unachojivuna nacho wewe hivi sasa kuhusu suala zima la elimu uliyokuwanayo ni zao la walimu.
Sijafundishwa na mwalimu mimi
 
Walimu wengi ni waliofeli form four na form six
Unaelewa maana ya kufeli kweli? Mtahiniwa anayetambulika kufeli ni yule aliyepata daraja 0, au F kwenye masomo.

Sasa nikuulize swali, kuna mwalimu aliyeajiriwa serikalini, halafu ana ufaulu wa division 0 kidato cha 4, au cha 6?
 
Kwani kima cha chini kwa serikali ni shs ngapi! Na kima cha chini kwa walimu ni ngapi! Acheni upumbafu walimu tuna maisha mazuri mno kuliko hata nyie wafanyakazi wa clouds wanaoishi kwa michongo ya kuombaomba
 
Ahsante kwa kunifungua macho tate.
 
Kwani kima cha chini kwa serikali ni shs ngapi! Na kima cha chini kwa walimu ni ngapi! Acheni upumbafu walimu tuna maisha mazuri mno kuliko hata nyie wafanyakazi wa clouds wanaoishi kwa michongo ya kuombaomba
Tanzania port Authoritie Dar es salama.. muajiriwa wa chini kabisa kila siku ana over time ya 40K

Anaingia job saa 1 asubuhi mpaka saa 12 jioni over time ni hiyo 40k kila siku
40k x30= 1200000
So mbali na mshahara muajiriwa wa TPA ana over time ya milioni moja na laki mbili [emoji23][emoji23]
Hapo bado kuna transport allowance kuna housing allowance na na nyinginezo na

OVER TIME YA TPA NI MISHAHARA MIWILI YA MWALIMU

Mwalimu mwenye degree mwenye mkopo wa bodi take home anapata kati ya laki 5 na elfu 30 mpaka laki 5 na elfu sabini

Walimu wana hali ngumu ni vyema wakapaza sauti wapewe hata teaching allowance
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…