Clouds TV wamekatisha matangazo ya moja kwa moja baada ya Diamond Platnumz kupanda jukwaani


Nashangaa watu wamekula sabuni mapovu yanawatoka tu.

😃😃😃😃😃
 
Mbona hujamalizia kuwa wasafi walitaka nyimbo zao zisichezwe clouds mpaka waambiwe kosa lao lililopelekea mwanzo zisichezwe
 
Hiyo mbinu yao ya kishamba ilishapitwa na wakati wanatakiwa kubadilika waende na wakati, WCB wana TV yao, radio station yao, bado siku hizi mitandao ipo kibao, wao kukatisha matangazo likitajwa jina la msanii wa WCB ni ujinga.

Kama walishindwa kuwazuia wasisikike wakati ule WCB hawana TV wala radio station leo hawawezi tena kuwazuia, wameshachelewa imekula kwao.
 
Afu hivi vi TV vya Tanzania ni wanafiki wakubwa; vyama vya upinzaji vikiwa na mikutano yao mikuu ya vyama vyao hawasogezi pua; hadi vyama hivi maskini anaamua kurusha online kwa resources zao ndogo; ila kwa CCM wamejazana Dodoma wanapigana vikumbo!!

Kweli kuikomboa nchi hii ni safari ndefu; na yataka moyo maana wanafiki ni wengi.
 
WASAFI NDIO HAWATAKI NYIMBO ZAO ZIPIGWE CLOUDS, HIVYO NI HAKI YAO CLOUDS KUTOKUMUONESHA MONDI
 
Tuliofuatilia kupitia azam tumeenjoy kuanzia mpangilio wa urushaji wao matangazo mpaka quality ya audio na video.
Azam wako international sana
 
taratibu basi...."tambia, wameaua, wegne, matagazo, imekaae" ndiyo nini sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…