Clouds TV wamekatisha matangazo ya moja kwa moja baada ya Diamond Platnumz kupanda jukwaani

mbona matangazo aloshiriki mondi wanapiga? acha kudanganya watu wale wamejaa roho mbaya na hawajiulizi why tangu waache kupga nyimbo zake ndo anapaa zaidi? wcb waliandika barua wakitaka waambiwe kosa la kutocheza nyimbo zao awali na sio hicho ulichoandika.
 
Hahhhaha, sasa Clouds ndio walirusha content ya Diamond au walikuwa na lengo la kuhabarisha mkutano wa CCM
 
Karibu mjini.
 

Watu wanaenda upande ambao wanaona kuna fursa za kupata maslahi zaidi au kutekeleza mipango yao kirahisi zaidi.

Ni issue ya kusoma upepo tu
 
Ivi bado kuna watu wanatazama clouds tv hapa duniani ?.maana mimi nina muda iyo Tv sijatazama hata nembo yake nishaisahau kwa kweli.mi nilijua ishakufa kumbe bado ipo.
 
If indeed true, this is very unprofessional. Joe should know better.

Tatizo sana kama watoto wa mjini wa siku nyingi na washamba wote wanafanya mambo sawa.

Hii issue ingeisha kitambo kama mmojawapo angeamua kujishusha kweli kweli japo kwa upande mwingine ni ngumu maana linasaidia both media houses kukaa kwenye mind za watu kuliko zingine..

Ni kama barrier flani wameweka ili wapate benefits zaidi hivyo, bifu kuisha kuna athari zaidi
 
Sasa nimeelewa maana halisi ya neno "We Dont Give A Fvck"
 
Walitakiwa warushe tu kwani hapo Clouds walilipwa na Ccm kufanya hivyo haikuwa mapenzi ya clouds TV bali ni kazi waliopewa na Ccm...kwahiyo kama ya mwanasheria wa Diamond kuhoj why wameonesha show ya Diamond hilo wangejibia Ccm kwani wao waliambiwa na Ccm waonsshe matangazo live bila kijali nan yupo jukwani muda huo
 
Kwanini mnatizama vitu vinavyowakera!!??
 
Kuna njia za kumshusha mpinzani wako ila hii clouds wanayotumia niya kishamba mno!Yaani 2020 wanaleta ule ushamba wa djs na redio kubania nyimbo wakati sasa hivi platforms zipo kibao,unaweza usipeleke wimbo redio ukatrend tu kwenye internet na kupigwa hata nje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…