mbona matangazo aloshiriki mondi wanapiga? acha kudanganya watu wale wamejaa roho mbaya na hawajiulizi why tangu waache kupga nyimbo zake ndo anapaa zaidi? wcb waliandika barua wakitaka waambiwe kosa la kutocheza nyimbo zao awali na sio hicho ulichoandika.Mwaka jana mwishoni uongozi wa WCB Wasafi kupitia mwanasheria wao walipeleka barua Clouds Media kuwataka wasithubutu kupiga nyimbo au content yoyote inayomuhusu msanii wa WCB akiwepo Diamond.
Hatua kali za kisheria zitachukuliwa endapo Clouds Media watakiuka maelezo hayo.