Club Aficain ni ya Mwisho kwenye Ligi ya Tunisia

Kinyungu

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2008
Posts
19,484
Reaction score
38,416
Nawakumbusha Yanga kuwa Club ya Africain ni ya mwisho kwenye msimamo wa ligi yao kundi B kwa mwaka huu na itashuka daraja bila shaka. Hii timu ni sawa tu na Ihefu hamna kitu. Hapa chini ni msimamo wa Ligi kwa kundi lao leo 9/10/2022.

 
Sasa ulitaka wawe wa kwanza na hawajacheza mechi yoyote ya ligi??? We ni taahira???
 
Acha kuchechetuka mkuu! Au ulifanya photoshop ukasahau kuweka match played?
 
Wewe kweli ndezi, yaani unaona kabisa umeandikiwa kabisa kuwa hajacheza mchezo hata mmoja hapo.
 
Kajifunze kwanza mpira wa miguu ndio uje tena hapa. Utajua hiyo P maanake nini

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…