Club Africain 0-1 Young Africans | CAFCC Playoff | Yanga yatinga hatua ya makundi

Kuna Timu imepigwa ngumi tatu Jana kwa mpigo.

1. Ngumi Singida
2. Ngumi Simba Queen
3. Ngumi Tunisia (Hii ndio imemkimbiza, kizunguzungu) [emoji78][emoji78][emoji78]

Yani hii ndio ngumi ya NDOIGE kila alipoenda imemfuata tu.[emoji2095][emoji2095][emoji2095][emoji2095][emoji2095][emoji2095]
 
Akili zako hazina akili
 
Mbona tunafahamu, huu utaratibu wa kila mtu kutoa positive thoughts kwa mchezaji baada ya kupata ushindi ni kawaida sana
Kwanini unadhani zakwako ni +ve thought ila za wengine sio..?
 
Define performance ili tuelewe una maanisha nini
Furahia ushindi mambo ya performance achana nayo

Kama unaona nilichokiandika haki make sense basi sio mbaya ukakipuuza

Nafahamu utaratibu wa mashabiki wa hapa bongo ulivyo, timu ikifungwa ni rahisi sana kuwasikia wakisema "Kocha hatufai", "mchezaji fulani hana kiwango"

Hakuna mshabiki ambaye timu yake imefungwa halafu akatoa pongezi kwa mpinzani.
 
Nmekuuliza nipe definition ya performance kwa mchezaji mbona maneno mengi
 
Jana singida kawainamisha , mkainama akashindilia hogo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkakukuruka kulichomoa wee likachoka na mavi just[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mamaeee
Mavi yamemwagika mpaka uarabuni dadeq
 
Niumie nini sasa maana kwangu grupu stage ni mazoea wewe kwako ilikua ndoto uliyoota kwa muda mrefu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…