Club Africain 0-1 Young Africans | CAFCC Playoff | Yanga yatinga hatua ya makundi

Club Africain 0-1 Young Africans | CAFCC Playoff | Yanga yatinga hatua ya makundi

Shadeeya sio bure mumekwenda na uchawi Tunisia. Bila hivyo mngekua mumechezea mutatu bila
50 cent.gif
 
Ila kile kigoli cha Azuza ni cha kuotea nimekiangaliaa nikasema hiiiii huyu kipa naeee
 
Kila nikijaribu kuiombea yanga kuna sauti inasema ndani yangu kwamba "USIMJARIBU BWANA MUNGU WAKO". Basi naamua kuitii hiyo sauti mana staki dhambi mimi. Wachezaji wa Yanga wanatamani wangepata ajali kama ile ya precision air ili kuficha aibu yao kwa taifa .
Hebu ongeza sauti....eti unasema!!?
 
Wale wa kombe la losers mmeamkaa? Nimeshaanda mihogo hapa na chachandu la kujichotea nimepata ile mihogo inayochambuka vizuurii.
 
Back
Top Bottom