Club Africain 0-1 Young Africans | CAFCC Playoff | Yanga yatinga hatua ya makundi

Club Africain 0-1 Young Africans | CAFCC Playoff | Yanga yatinga hatua ya makundi

Sasa ndio muache kuliita kombe la LOOSER.....sio mnashangilia Simba akitoboa mnaliita kombe la LOOSER.......

Btw.
Huko ndio kunakowafaa Kwa watoto wenzenu......
 
Furaha ya matokeo ndio inakufanya uandike hivi

Leo hata angecheza Tuisila bado alikuwa yupo kwenye nafasi ndogo ya kukosea

Game yenye pressure utakuja kuniambia
Kwani gemu hiyo haikuwa na pressure? Na unajuaje hii gem ina pressure na hii haina?
 
Back
Top Bottom