Club Africain 0-1 Young Africans | CAFCC Playoff | Yanga yatinga hatua ya makundi

Club Africain 0-1 Young Africans | CAFCC Playoff | Yanga yatinga hatua ya makundi

Ha ha ha ha tupo jana, leo,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa timu imeingia makundi....kesho tukutane pale uwanja wa ndege na mihogo yetu kupokea mashujaa wetu. Kupindia zulia ilikuwa sio kazi ndogo
 
Tulishamkataa Aziz Ki toka mechi dhidi ya Makolokolo alituangusha sana hadi Yanga tulikosa point 3....[emoji2960]
Ni mchezaji wa kawaida sana na mwepesi kufanya makosa, game ya hapa kwa Mkapa alipokonywa mipira mingi

Game yenye pressure kubwa nikiwa na maana game ambayo wapinzani wanafika sana golini kwenu na kufanya mashambulizi ni ngumu sana kuona mchango wa Aziz Ki

Na ndio maana approach aliyoingia nayo mwalimu alijua kabisa kuwa leo Club Africain watakamia na kufanya mashambulizi mengi

Thats why hakumuanzisha first half
 
Cheki naye huyu

Haya ni matukio ya msimu, mechi mbili au tatu zijazo utamkataa
Matukio mhimu kama hili hapa[emoji116]
JamiiForums-1804407804.jpg
 
Ni mchezaji wa kawaida sana na mwepesi kufanya makosa, game ya hapa kwa Mkapa alipokonywa mipira mingi

Game yenye pressure kubwa nikiwa na maana game ambayo wapinzani wanafika sana golini kwenu na kufanya mashambulizi ni ngumu sana kuona mchango wa Aziz Ki

Na ndio maana approach aliyoingia nayo mwalimu alijua kabisa kuwa leo Club Africain watakamia na kufanya mashambulizi mengi

Thats why hakumuanzisha first half
Kasha wapiga mara tatu bado hutaki kukubali mbona una ubishi wa Kiha?
 
Matukio mhimu kama hili hapa[emoji116]View attachment 2411854
Maisha haya ya mpira tumetofautiana sana

Kwa hiyo hii umeihifadhi kwenye simu yako kama review itumike kama hoja defensively ya kumtetea mchezaji wako?

Haya nipe na ya Balama Mapinduzi nayo nioone nione jinsi gani unaweza Kumtetea kuwa ni mchezaji bora maana naye katika rekodi aliwahi mfunga Manula
 
Ni mchezaji wa kawaida sana na mwepesi kufanya makosa, game ya hapa kwa Mkapa alipokonywa mipira mingi

Game yenye pressure kubwa nikiwa na maana game ambayo wapinzani wanafika sana golini kwenu na kufanya mashambulizi ni ngumu sana kuona mchango wa Aziz Ki

Na ndio maana approach aliyoingia nayo mwalimu alijua kabisa kuwa leo Club Africain watakamia na kufanya mashambulizi mengi

Thats why hakumuanzisha first half
Ki wa kawaida?????
 
Farhani khambu Ni mbumbafu Sana wkt tulipo toahapa draw na hao mapimbi alikuja kushika mic za cmg na kuanza kuirarua rarua yanga nilimchukia sna Hadi nikamafta dm nakumpa matusi mazito

Leo sijui litabana pua wapi mpumbafu sna na shafi ,edga,na ambagile wote washenzi
 
Kasha wapiga mara tatu bado hutaki kukubali mbona una ubishi wa Kiha?
Soap alikupigeni Hattrick lakini haiwezi kuwa big story kuwa ni mchezaji bora wakumuundia tume

Azizi Ki ni mchezaji wakawaida sana na hili nalisema leo ikiwa kafunga goli, kwasababu performance na kufunga goli ni vitu viwili tofauti

Utofauti wa nyie na mimi ni kwamba nyie mnahesabu goli kama performance
 
Umeongea kiungwana sn.
Hii unai appreciate kwasababu inaku favor (ndio kitu ambacho mko tayari kukisikia kwa sasa)

Ila ingekuwa negative hata kama ni ukweli usingekubali pengine labda ungeniita hater
 
Hii unai appreciate kwasababu inaku favor (ndio kitu ambacho mko tayari kukisikia kwa sasa)

Ila ingekuwa negative hata kama ni ukweli usingekubali pengine labda ungeniita hater
Mpira ni mchezo wa hadharani.
 
Kwa fact moja tu

Kwasababu position anayocheza kuna waliobora kuliko yeye
Hayupo huyo aliyebora kuliko yeye, jamaa ni fundi haswa, sema tu mpira wetu hapa bongo umekuwa, lkn hakustahili kucheza bongo.
 
Mpira ni mchezo wa hadharani.
Na ndio maana nakupa fact ya kimpira na sio matokeo ya mwisho

Hata kiwango alichokionesha kwenye Derby kilikuwa very poor ila kwasababu alifunga watu wengi wana kawaida ya kujadili matokeo ya mwisho

Ila laiti kama lile goli lingefungwa na mchezaji mwingine basi asingeweza kuepuka lawama

Wapo mashabiki wa Yanga wenzako ambao wanalielewa hili na hata leo wakiambiwa wapange kikosi chao basi Azizi Ki ataanzia bench
 
Back
Top Bottom