Club Africain 0-1 Young Africans | CAFCC Playoff | Yanga yatinga hatua ya makundi

Club Africain 0-1 Young Africans | CAFCC Playoff | Yanga yatinga hatua ya makundi

Na ndio maana nakupa fact ya kimpira na sio matokeo ya mwisho

Hata kiwango alichokionesha kwenye Derby kilikuwa very poor ila kwasababu alifunga watu wengi wana kawaida ya kujadili matokeo ya mwisho

Ila laiti kama lile goli lingefungwa na mchezaji mwingine basi asingeweza kuepuka lawama

Wapo mashabiki wa Yanga wenzako ambao wanalielewa hili na hata leo wakiambiwa wapange kikosi chao basi Azizi Ki ataanzia bench
Kafie mbele
 
Hayupo huyo aliyebora kuliko yeye, jamaa ni fundi haswa, sema tu mpira wetu hapa bongo umekuwa, lkn hakustahili kucheza bongo.
Furaha ya matokeo ndio inakufanya uandike hivi

Leo hata angecheza Tuisila bado alikuwa yupo kwenye nafasi ndogo ya kukosea

Game yenye pressure utakuja kuniambia
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20221109-233911_WhatsAppBusiness.jpg
 
Kwahyo game ya Africain na Simba hazikuwa na pressure? Mbona kaamua matokeo?
Club Africain walikuwa na hatari gani kwenye lango lenu ikiwa kama mpira ulikuwa nadra kuvuka mstari wa kati?

Game ya Simba ilikuwa na pressure, uliona performance yake?

Lile goli assume angefunga feisal, ungeweza kumjadili Azizi Ki kwa fact gani kuonesha ile game alicheza katika kiwango bora?
 
Furaha ya matokeo ndio inakufanya uandike hivi

Leo hata angecheza Tuisila bado alikuwa yupo kwenye nafasi ndogo ya kukosea

Game yenye pressure utakuja kuniambia
Una sababu zipi za kumuona Ki ni mchezaji wa kawaida? Keshacheza na wewe zaidi ya mara mbili na ka prove ubora wake, unaweza kunipa sababu japo moja? Ila ni kawaida wachezaji bora kusimangwa na wapinzani, ningeomba ulale tu mzee mana huna hoja.
 
Club Africain walikuwa na hatari gani kwenye lango lenu ikiwa kama mpira ulikuwa nadra kuvuka mstari wa kati?

Game ya Simba ilikuwa na pressure, uliona performance yake?

Lile goli assume angefunga feisal, ungeweza kumjadili Azizi Ki kwa fact gani kuonesha ile game alicheza katika kiwango bora?
Chama siku ile aifanya nini zaidi ya pasi ya Goli.???
 
Na ndio maana nakupa fact ya kimpira na sio matokeo ya mwisho

Hata kiwango alichokionesha kwenye Derby kilikuwa very poor ila kwasababu alifunga watu wengi wana kawaida ya kujadili matokeo ya mwisho

Ila laiti kama lile goli lingefungwa na mchezaji mwingine basi asingeweza kuepuka lawama

Wapo mashabiki wa Yanga wenzako ambao wanalielewa hili na hata leo wakiambiwa wapange kikosi chao basi Azizi Ki ataanzia bench
Kwani mchezaji kuanzia bench ndio mbovu,sisi huwa tunajadili matokeo hata akicheza mpira mbaya vipi lakini akikupa matokeo ya point tatu basi lazima apewe heshima kubwa,ni sawa na Timu kwa ujumla hata ikiongoza ball possession kwa 82% na timu pinzani ikiwa na 18% na ikatokea timu yenye ball possession ndogo kuchukua point 3 basi lazima sifa za heshima zote tumpe timu yenye ball possession ndogo.
 
Soap alikupigeni Hattrick lakini haiwezi kuwa big story kuwa ni mchezaji bora wakumuundia tume

Azizi Ki ni mchezaji wakawaida sana na hili nalisema leo ikiwa kafunga goli, kwasababu performance na kufunga goli ni vitu viwili tofauti

Utofauti wa nyie na mimi ni kwamba nyie mnahesabu goli kama performance
Sawa performance anayo Kibu D
 
Wameumbuka vibaya sana.
Nikupe Hongera! Jana nilifurahi si kishabiki bali kutokana na maneno ya humu! Watu wa humu ni wapuuzi kwani team yoyote ya mpira haijengwi kwa siku moja. Angalia hata timu za Ulaya. Mchezaji hata awe mzuri kiasi gani kwa timu A akienda timu B lazima apewe muda wa kujifunza kucheza na wenzake. Hata Tanzania hasa wanoko wa JF hilo hawajui.

Basi jana Yanga utaambiwa kaloga, amehonga marefa na wachezaji wa timu pinzani etc. Ujinga tu
 
Back
Top Bottom