Club Africain 0-1 Young Africans | CAFCC Playoff | Yanga yatinga hatua ya makundi

Club Africain 0-1 Young Africans | CAFCC Playoff | Yanga yatinga hatua ya makundi

Hii timu mlikuwa mnaipaisha sana. Watu wa mpira tulishaigundua ni timu ya kawaida sana kupitia mchezo wao wa awali.

Ahueni heshima itarudi iwapo tutaingia makundi. Maana siyo kwa yale masimango yenu.
Makundi ya kombe la loser kama asemavyo aliekuwa semaji lenu
 
Back
Top Bottom