Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Hii timu mlikuwa mnaipaisha sana. Watu wa mpira tulishaigundua ni timu ya kawaida sana kupitia mchezo wao wa awali.Matumaini kwa Club Africain kufuzu ni madogo sana
Ahueni heshima itarudi iwapo tutaingia makundi. Maana siyo kwa yale masimango yenu.