Club Africain 0-1 Young Africans | CAFCC Playoff | Yanga yatinga hatua ya makundi

Club Africain 0-1 Young Africans | CAFCC Playoff | Yanga yatinga hatua ya makundi

Mnapangiwa lini wa kucheza nao ili tujue kama tunainua tanga kumbe marehemu hakufa alizimia tuu au tuendelee kusubirisubiri labda atadedi kabisa kwenye hatua ya makundi?
 
Kombe la losers linavyopigiwa debe hata sikutegemea
Endeleni kubadilisha nyimbo wakati mwaka jana mpaka kwa babu mlienda,mkaharibu pichi ya watu.
images (48).jpeg
 
Mtaaibika tena🤣🤣🤣
Hahahaha wanaochukulia mpira serious na wale wa kubet ndo wanakufa na kuzirai hapo hapo. Ila sie wa kuchonga chonga midomo hata mpira wenyewe sijaangalia huwa hatuaibiki yani wakavuuuu
 
Endeleni kubadilisha nyimbo wakati mwaka jana mpaka mpaka kwa babu mlienda,mpaka mkaharibu pichi ya watu.
View attachment 2411816
Kule South Africa kulikuwa na baridi sans na kama unavyojua makao makuu ya Club ni dar na Dar nadhani unalijua joto lake

Sasa wakaona wakoke moto waotee kidogo ili kupata joto

Hawakua na nia mbaya
 
Back
Top Bottom