CCM,hata lile eneo ilipo ni kiwanja cha Chama yeye amepangishwa tuAlikuwa anakifadhili chama gani enzi za uchaguzi?
Huwezi jua nyuma ya pazia...bila shaka kodi inahusika!CCM,hata lile eneo ilipo ni kiwanja cha Chama yeye amepangishwa tu
Yote yanawezekana mkuu,si unajua tena mambo ya biashara.Huwezi jua nyuma ya pazia...bila shaka kodi inahusika!
hata vviwe vingi sio pa kufungwa kiholela mfano delux,au rumas ambayo ilivyunjwa huwa havifi kiivyo duniani...vinabakigi na manyani ya zamani..angalia magoti mpaka billcanaskufa kwake ilitumika juhudi lakini mpaka kesho vingekuwepo..mfano Pub albeto mpaka kesho itakuwepo hata vianzishwe viwanja vipi....Villa ilikuwa zamani saivi kuna viwanja vipya vingi sana, the cask, bonasera, diamond, Dv9, bundasliga nyasaka, na viiingi dah
Mkuu nimeipenda hii bonasera ipo mitaa gani tafadhali?Villa ilikuwa zamani saivi kuna viwanja vipya vingi sana, the cask, bonasera, diamond, Dv9, bundasliga nyasaka, na viiingi dah
nenda royal ya zamani imeboreshwa sasa anayo life Moshimwanza pamepoa sana hakuna clubs za maana,delux nayo kufa
[emoji41]Nlivutiwa na hilo jina la Kitaliano nkajua ni place ya uhakika mkuuhiyo ni grocery tu achana nayo
Kwa mfununu not yet verified huyo jamaa alifanyiwa figisu kuna MTU Wa chama cha kijani amepatamani ila kuna eneo ameshapata anataka kuindeleza nembo so stay tunedKwa wale waliowahi kuishi Mwanza hii club ilikuwa ikibamba sana kipindi cha nyuma. Juzi nilikuwa Mwanza kama kawaida nikataka kwenda kurelax kufika tu nikakuta pako kimyaaa kuuliza nikaambiwa pamefungwa kitambo sana, nini tatizo?