50thebe
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 4,139
- 4,124
Villa Park kiwango chake kilizidi Mango Garden ya KinondoniNimeenda hizo alizosema ila sijaona yenye kiwango chaVila Park. Hiyo Bonasera Ni modern restaurant na sio Bar
Villa Park kiwango chake kilizidi Mango Garden ya KinondoniNimeenda hizo alizosema ila sijaona yenye kiwango chaVila Park. Hiyo Bonasera Ni modern restaurant na sio Bar
Kabisa. Kuna ambayo iko Moro maeneo ya Msamvu inaitwa Star Pub kisifa inakaribia kidogo Vila ParkVilla Park kiwango chake kilizidi Mango Garden ya Kinondoni
Villa ilikuwa zamani saivi kuna viwanja vipya vingi sana, the cask, bonasera, diamond, Dv9, bundasliga nyasaka, na viiingi dah
Kidumu cham cha kufilisi watanzania ccmKwa wale waliowahi kuishi Mwanza hii club ilikuwa ikibamba sana kipindi cha nyuma.
Juzi nilikuwa Mwanza kama kawaida nikataka kwenda kurelax kufika tu nikakuta pako kimyaaa kuuliza nikaambiwa pamefungwa kitambo sana, nini tatizo?
Mbona hao watu makanisani hatuwaoni, leo nilikuwa Salasala, kuna jengo la kanisa la binti flora lilikuwa na waumini wasiozidi 10 wakat ndani kuna viti 200Nyuzi za kufunga club,baa nyingi sana.wanywaji wengi wamempokea Mungu,waliobaki wamerudi class C,mwendo wa mbege,kimpumu, komoni ili mradi km zisome.Naona hali ya kuishi Kama mashetani dalili za mwanzo izi
Njoo Goba, mheshimiwa joseph mbilinyi aka SuGu moto chini anafungua bonge la club siku ya chrismas, mgeni rasmi atakuwa bibi betina bwana tulia aksonKijiwe changu cha kula samaki wa kuchoma nikiwa Rock city. Imefungwa mini?
Kwa manabii hawaendi washajua wapigajiMbona hao watu makanisani hatuwaoni, leo nilikuwa Salasala, kuna jengo la kanisa la binti flora lilikuwa na waumini wasiozidi 10 wakat ndani kuna viti 200
Ntakuja. Nna michepuko yangu kadhaa huko.Uwe unakuja ku-update mkuu
Hapo sasa sawasawa.Ntakuja. Nna michepuko yangu kadhaa huko.
Tatizo lilianzia 2015 alipokuwa ana support mamvi na yule kijana wa kombati ndio wakubwa wakaamua kuchomoa waya.
Sana eti kvant bana 20,000.pakingeseBonasera pazuri ila anauza vitu ghali utafikiria ni 5 star hotel,cusk nayo kumejaa wauza sura tu....
Kwahiyo hata wale watoto wanaojiuza hawapo tena. Nimeshakula watoto wanne maeneo hayo . Nikienda Mwanza sasa niende nikale wapi watoto wa fastaKwa wale waliowahi kuishi Mwanza hii club ilikuwa ikibamba sana kipindi cha nyuma.
Juzi nilikuwa Mwanza kama kawaida nikataka kwenda kurelax kufika tu nikakuta pako kimyaaa kuuliza nikaambiwa pamefungwa kitambo sana, nini tatizo?
The kiss ipo ila imechoka mbaya, pale pembeni ya ukuta wa CCM kirumba kuna malaya wa cheapest wa kupigia kwenye mitaroVipi Golden Crest bado ipo?
Nliendaga siku moja alafu sikuwa nahela roho ikauma nikaapa kulipiza Cha ajabu kila nikienda MZA sikumbuki.
Villa Park Resort kirumba ilisimama nakumbuka Kuna jamaa alifungua pembeni yake sijui hata anaendeleaje
Kinacho wakimbiza watoto wa mbwa bonasera ni bei tuuu, ila vibosile wapo wa kutosha weekend, Vant dogo ten, kubwa tenty,, bia buku 3 za bei elekeziSana eti kvant bana 20,000.pakingese