Risk manager
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,837
- 17,496
Nenda kama unaenda tilapia ama IPO opposite na BOT mwanzaMkuu nimeipenda hii bonasera ipo mitaa gani tafadhali?
Nenda kama unaenda tilapia ama IPO opposite na BOT mwanzaMkuu nimeipenda hii bonasera ipo mitaa gani tafadhali?
Miaka 2009-2012 nimekula sana sato wa kuchoma hapo! Nilikuwa nikitoka Dar na wife lazima tukale hapo ili uroho wa sato umtoke, kwakweli Villa ilikuwa balaa enzi zileKwa wale waliowahi kuishi Mwanza hii club ilikuwa ikibamba sana kipindi cha nyuma. Juzi nilikuwa Mwanza kama kawaida nikataka kwenda kurelax kufika tu nikakuta pako kimyaaa kuuliza nikaambiwa pamefungwa kitambo sana, nini tatizo?
hiyo ni grocery tu achana nayo
Ayaa vizuri basi kafufueni villar park resort, hizi grocery classic tuachieni sshiyo ni grocery tu achana nayo
Mpk hapo nimesha-confirm wewe unajua viwanja vzr mkuu.hata vviwe vingi sio pa kufungwa kiholela mfano delux,au rumas ambayo ilivyunjwa huwa havifi kiivyo duniani...vinabakigi na manyani ya zamani..angalia magoti mpaka billcanaskufa kwake ilitumika juhudi lakini mpaka kesho vingekuwepo..mfano Pub albeto mpaka kesho itakuwepo hata vianzishwe viwanja vipi....
Supu ya SATO MKUBWAAAAA....!!!Kijiwe changu cha kula samaki wa kuchoma nikiwa Rock city. Imefungwa mini?
😂😂😂Nyuzi za kufunga club,baa nyingi sana.wanywaji wengi wamempokea Mungu,waliobaki wamerudi class C,mwendo wa mbege,kimpumu, komoni ili mradi km zisome.Naona hali ya kuishi Kama mashetani dalili za mwanzo izi
Karibu DIAMOND AUTO LINK,BUNDASLIGA,CASK,nk utaenjoy!Daah! Kwa hiyo na hii sikukuu tunaopenda kujiachia villa imekula kwetu!
Vijiwe vya kula samaki choma vipo vingi tu, karibu ule samaki choma, Diamond,Cask,Lasvegas,Tai one, BUNDASLIGA,Matako bar,Feys,nkKijiwe changu cha kula samaki wa kuchoma nikiwa Rock city. Imefungwa mini?
Utakuwa mgeni MwanzaHizo groceries, Villarpark ilikuwa bab kubwa.Vinywaji+ Vyakula samaki samaki+ totoz za ukweli [emoji16][emoji16]
Eneo la karibu na ziwa alipopata pia amepigwa kamati,atachafua ziwa!Kwa mfununu not yet verified huyo jamaa alifanyiwa figisu kuna MTU Wa chama cha kijani amepatamani ila kuna eneo ameshapata anataka kuindeleza nembo so stay tuned
DV9 kale ni ka pub tu. Diamobd padogo sana. Cask sipajui, bonasera sijapujui....nilihama Mwanza 2016.Villa ilikuwa zamani saivi kuna viwanja vipya vingi sana, the cask, bonasera, diamond, Dv9, bundasliga nyasaka, na viiingi dah
Cask ipo rocky city mall,bonasera ipo opposite na BOT!mkuu unakimbizwa?elezea kinagaubga the cask,dv9,bonasera ziko wapi?
Ziwa mwambao Wa wapi Bosi. Na huko ndipo angemaliza kabisa.Eneo la karibu na ziwa alipopata pia amepigwa kamati,atachafua ziwa!
Dah naona wamekuumiza sana.Kwa wale waliowahi kuishi Mwanza hii club ilikuwa ikibamba sana kipindi cha nyuma.
Juzi nilikuwa Mwanza kama kawaida nikataka kwenda kurelax kufika tu nikakuta pako kimyaaa kuuliza nikaambiwa pamefungwa kitambo sana, nini tatizo?