MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,016
- 16,813
Ukiona Biashara yoyote imeanza na inavuma mno jua kuna Nguvu za Giza zimetumika na Mhusika akisahau au akidharau Masharti hupotea upesi.Kwa wale waliowahi kuishi Mwanza hii club ilikuwa ikibamba sana kipindi cha nyuma.
Juzi nilikuwa Mwanza kama kawaida nikataka kwenda kurelax kufika tu nikakuta pako kimyaaa kuuliza nikaambiwa pamefungwa kitambo sana, nini tatizo?