King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,227
- 98,761
Yooh Jay njoo Pub Alberto tuvute raha!!! Pub Alberto bado ipo? Na je ni moto kama enzi zile 2000's?
hata vviwe vingi sio pa kufungwa kiholela mfano delux,au rumas ambayo ilivyunjwa huwa havifi kiivyo duniani...vinabakigi na manyani ya zamani..angalia magoti mpaka billcanaskufa kwake ilitumika juhudi lakini mpaka kesho vingekuwepo..mfano Pub albeto mpaka kesho itakuwepo hata vianzishwe viwanja vipi....
Yooh Jay njoo Pub Alberto tuvute raha!!! Pub Alberto bado ipo? Na je ni moto kama enzi zile 2000's?
Yooh Jay njoo Pub Alberto tuvute raha!!! Pub Alberto bado ipo? Na je ni moto kama enzi zile 2000's?
Daaah sie wapenzi wa NYAMA Choma tukifika moshi imekula Kwetu.IMEFUNGWA nilipita hapo Kama week mbili zilizopita nikakuta holaaa.
Hatari sana.Eneo la karibu na ziwa alipopata pia amepigwa kamati,atachafua ziwa!
Mkuu kwenye starehe kila sehemu ina upekee wake katika huduma zitolewazo. Cask au Diamond haviwezi kuwa mbadala wa Villa in terms of service offered.Villa ilikuwa zamani saivi kuna viwanja vipya vingi sana, the cask, bonasera, diamond, Dv9, bundasliga nyasaka, na viiingi dah
Mihama Mkuu,Nyuma ya Mlima wa Kitangiri na BwiruZiwa mwambao Wa wapi Bosi. Na huko ndipo angemaliza kabisa.
Yani Vila ndo nilipoanzia kula samaki mkubwa choma wakiuza alfu 10 mwaka 2010 nadhani.
Muda Huo Nilikuwa na vichenji chenji vyangu nikichenji dola yangu mia natesa mjini na huku hata nje haitoshi kumvuta MTT mkali.
Ila afrika maisha yetu yako cheap sana
Mi nilikuwa nafuata Super Kamanyola pale,na kucheki game live daahKwa mfununu not yet verified huyo jamaa alifanyiwa figisu kuna MTU Wa chama cha kijani amepatamani ila kuna eneo ameshapata anataka kuindeleza nembo so stay tuned
Naam! huu ndio uzuri wa villa. Spaceous, msosi standard, usafi wameuzingatia sana.Mi nilikuwa nafuata Super Kamanyola pale,na kucheki game live daah
Hata Mimi form 4 japo sikufeli kiviile ila nilishangaza watu Marks hizo nimezipata vp, anyway ujana.. 2009, 10, 11 bata linaanza alhamis kulikua na usiku wa taarab basi tunaenda ili tuyacheki majimama na mashangingi yale manene na totoz mbali mbali basi tuna enjooooy, ijumaa, jumamosi, jumapili club tu dah.. totoz za kumwaga, dah RIP Villa Park na lile taa lako usiku linamulika hv..icho kiwanja mi ndo kilisababisha nikafeli shule
Ilikuwa balaa,leo mwanza kimyaaaa kama siyo jijiHata Mimi form 4 japo sikufeli kiviile ila nilishangaza watu Marks hizo nimezipata vp, anyway ujana.. 2009, 10, 11 bata linaanza alhamis kulikua na usiku wa taarab basi tunaenda ili tuyacheki majimama na mashangingi yale manene na totoz mbali mbali basi tuna enjooooy, ijumaa, jumamosi, jumapili club tu dah.. totoz za kumwaga, dah RIP Villa Park na lile taa lako usiku linamulika hv..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hela haipo mzee.Ilikuwa balaa,leo mwanza kimyaaaa kama siyo jiji
Diamond 💎 pako sawaVilla ilikuwa zamani saivi kuna viwanja vipya vingi sana, the cask, bonasera, diamond, Dv9, bundasliga nyasaka, na viiingi dah
Cask= Rock City Mallmkuu unakimbizwa?elezea kinagaubga the cask,dv9,bonasera ziko wapi?
Uwe unakuja ku-update mkuuDV9 kale ni ka pub tu. Diamobd padogo sana. Cask sipajui, bonasera sijapujui....nilihama Mwanza 2016.
Nimeenda hizo alizosema ila sijaona yenye kiwango chaVila Park. Hiyo Bonasera Ni modern restaurant na sio BarHizo groceries, Villarpark ilikuwa bab kubwa.Vinywaji+ Vyakula samaki samaki+ totoz za ukweli 😁😁