Club Villarpark ya Mwanza imefungwa, nini chanzo?

Yooh Jay njoo Pub Alberto tuvute raha!!! Pub Alberto bado ipo? Na je ni moto kama enzi zile 2000's?
 


Pub Alberto ilishafungwa mda.
 
Villa ilikuwa zamani saivi kuna viwanja vipya vingi sana, the cask, bonasera, diamond, Dv9, bundasliga nyasaka, na viiingi dah
Mkuu kwenye starehe kila sehemu ina upekee wake katika huduma zitolewazo. Cask au Diamond haviwezi kuwa mbadala wa Villa in terms of service offered.
 
Mihama Mkuu,Nyuma ya Mlima wa Kitangiri na Bwiru
 
Mwanza siku hizi ovyo sana,eti jiji 😁😁😁
 
Kwa mfununu not yet verified huyo jamaa alifanyiwa figisu kuna MTU Wa chama cha kijani amepatamani ila kuna eneo ameshapata anataka kuindeleza nembo so stay tuned
Mi nilikuwa nafuata Super Kamanyola pale,na kucheki game live daah
 
icho kiwanja mi ndo kilisababisha nikafeli shule
Hata Mimi form 4 japo sikufeli kiviile ila nilishangaza watu Marks hizo nimezipata vp, anyway ujana.. 2009, 10, 11 bata linaanza alhamis kulikua na usiku wa taarab basi tunaenda ili tuyacheki majimama na mashangingi yale manene na totoz mbali mbali basi tuna enjooooy, ijumaa, jumamosi, jumapili club tu dah.. totoz za kumwaga, dah RIP Villa Park na lile taa lako usiku linamulika hv..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ilikuwa balaa,leo mwanza kimyaaaa kama siyo jiji
 
Hizo groceries, Villarpark ilikuwa bab kubwa.Vinywaji+ Vyakula samaki samaki+ totoz za ukweli 😁😁
Nimeenda hizo alizosema ila sijaona yenye kiwango chaVila Park. Hiyo Bonasera Ni modern restaurant na sio Bar
 
Vipi Golden Crest bado ipo?

Nliendaga siku moja alafu sikuwa nahela roho ikauma nikaapa kulipiza Cha ajabu kila nikienda MZA sikumbuki.

Villa Park Resort kirumba ilisimama nakumbuka Kuna jamaa alifungua pembeni yake sijui hata anaendeleaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…