Club Villarpark ya Mwanza imefungwa, nini chanzo?

Vp kuhus Bundasliga na Taiwan ?
Mana mm ndio viwanja vyangu
Japo kweli kwa mwanza Villa ndio ilikuwa Baba Lao
 
Kwa wale waliowahi kuishi Mwanza hii club ilikuwa ikibamba sana kipindi cha nyuma.

Juzi nilikuwa Mwanza kama kawaida nikataka kwenda kurelax kufika tu nikakuta pako kimyaaa kuuliza nikaambiwa pamefungwa kitambo sana, nini tatizo?
Kidumu cham cha kufilisi watanzania ccm
 
Nyuzi za kufunga club,baa nyingi sana.wanywaji wengi wamempokea Mungu,waliobaki wamerudi class C,mwendo wa mbege,kimpumu, komoni ili mradi km zisome.Naona hali ya kuishi Kama mashetani dalili za mwanzo izi
Mbona hao watu makanisani hatuwaoni, leo nilikuwa Salasala, kuna jengo la kanisa la binti flora lilikuwa na waumini wasiozidi 10 wakat ndani kuna viti 200
 
Villa Park ilikuwa ni shida kuanzia totoz, live band akina super kamanyora na misosi, saiv Kuna viwanja vipya diamond, cask, Taiwan, Las Vegas, dv8 n.k
 
Nilingia hapo mwaka 2014 siku nne lilikuwa ni Bata na pisi kali watoto wa Kinyarwanda
 
Kwa wale waliowahi kuishi Mwanza hii club ilikuwa ikibamba sana kipindi cha nyuma.

Juzi nilikuwa Mwanza kama kawaida nikataka kwenda kurelax kufika tu nikakuta pako kimyaaa kuuliza nikaambiwa pamefungwa kitambo sana, nini tatizo?
Kwahiyo hata wale watoto wanaojiuza hawapo tena. Nimeshakula watoto wanne maeneo hayo . Nikienda Mwanza sasa niende nikale wapi watoto wa fasta
 
Vipi Golden Crest bado ipo?

Nliendaga siku moja alafu sikuwa nahela roho ikauma nikaapa kulipiza Cha ajabu kila nikienda MZA sikumbuki.

Villa Park Resort kirumba ilisimama nakumbuka Kuna jamaa alifungua pembeni yake sijui hata anaendeleaje
The kiss ipo ila imechoka mbaya, pale pembeni ya ukuta wa CCM kirumba kuna malaya wa cheapest wa kupigia kwenye mitaro
 
Sana eti kvant bana 20,000.pakingese
Kinacho wakimbiza watoto wa mbwa bonasera ni bei tuuu, ila vibosile wapo wa kutosha weekend, Vant dogo ten, kubwa tenty,, bia buku 3 za bei elekezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…