MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,016
- 16,813
Ukiona Biashara yoyote imeanza na inavuma mno jua kuna Nguvu za Giza zimetumika na Mhusika akisahau au akidharau Masharti hupotea upesi.Kwa wale waliowahi kuishi Mwanza hii club ilikuwa ikibamba sana kipindi cha nyuma.
Juzi nilikuwa Mwanza kama kawaida nikataka kwenda kurelax kufika tu nikakuta pako kimyaaa kuuliza nikaambiwa pamefungwa kitambo sana, nini tatizo?
Haya kiwanja hakipo tena rudi sasa ukasome!icho kiwanja mi ndo kilisababisha nikafeli shule
Bonasera sipajui. Next time nikifika Mwanza nitafika hapo. Hivi Level 8 gold crest kulikuwa na lounge kule bado ipo?Bonasera pazuri ila anauza vitu ghali utafikiria ni 5 star hotel,cusk nayo kumejaa wauza sura tu....
Sijui kuhusu nguvu za giza, ila Yule mchagga alikuwa anaijua biashara ya starehe. Villa ilikuwa haichuji sbb karibu kila baada ya miaka miwili alikua anaifunga na kufanya ukarabati. Pia alimantain sana customer care na usafi. Machimbo yote yalikuwa yakija na kupotea ila villa ipo. Kimsingi villa ilikuwa ndio ID ya mwanza.Ukiona Biashara yoyote imeanza na inavuma mno jua kuna Nguvu za Giza zimetumika na Mhusika akisahau au akidharau Masharti hupotea upesi.
Huyo jamaa mnafiki! Pako vizuri mkuu, ipo opposite na chuo cha benki kuu kabla haijafika Tilapia Hotel ![emoji41]Nlivutiwa na hilo jina la Kitaliano nkajua ni place ya uhakika mkuu
Kuna Baa moja ipo Sinza ina hiyo Customer Care yako na Safi kama Ikulu ya Tanzania, ila cha Kushangaza haijazi na ya jirani Chafu sana inajaa mno.Sijui kuhusu nguvu za giza, ila Yule mchagga alikuwa anaijua biashara ya starehe. Villa ilikuwa haichuji sbb karibu kila baada ya miaka miwili alikua anaifunga na kufanya ukarabati. Pia alimantain sana customer care na usafi. Machimbo yote yalikuwa yakija na kupotea ila villa ipo. Kimsingi villa ilikuwa ndio ID ya mwanza.
Sababu ya mazingira, majirani usiku walikuwa hawalali kabisa mziki mpaka asubuhi, watoto wadogo walipata shida sana, pia tabia za ufusika hapo Villa zilisababisha familia nyingi kuwa mwenye matatizo ya kimaadili. Ni afadhali wamefunga kabisa.Kwa wale waliowahi kuishi Mwanza hii club ilikuwa ikibamba sana kipindi cha nyuma.
Juzi nilikuwa Mwanza kama kawaida nikataka kwenda kurelax kufika tu nikakuta pako kimyaaa kuuliza nikaambiwa pamefungwa kitambo sana, nini tatizo?
Ushaenda City Center ya Igoma kuona ilivyo? Mbona pako poa sana?Mwanza siku hizi ovyo sana, sehemu za starehe majanga
Ni mambo ya siasa tu ndo yalimuaharibia,alianza kusapoti CHADEMA waziwazi kama kawaida kipindi cha mwendazake TRA wakaanza kumfirisi taratibu na mamlaka nyingine.Sijui kuhusu nguvu za giza, ila Yule mchagga alikuwa anaijua biashara ya starehe. Villa ilikuwa haichuji sbb karibu kila baada ya miaka miwili alikua anaifunga na kufanya ukarabati. Pia alimantain sana customer care na usafi. Machimbo yote yalikuwa yakija na kupotea ila villa ipo. Kimsingi villa ilikuwa ndio ID ya mwanza.
Ushaenda City Center ya Igoma kuona ilivyo? Mbona pako poa sana?