Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yap kweliKuna mzee wa miaka 94 americover kutoka kwenye maambukizi ya corona. Aliniambia anakwenda mazoezi ya tennis mara moja kwa wiki. Mazoezi yanasaidia kumbuka ugonjwa hauna dawa ni uwezo wa mwili kupambana ndiyo tiba.
Dada kifo huwa kinapangwa na Mungu na wala si binadamu! Mbona huko US wenye ventilators kibao wanakufa? Halafu unadharau sana nchi yako as if siyo Mtanzania.Naona wanasema hivyo kwa vile mfumo wa matibabu kwetu ni worse. Hivi umeona wards za mloganzila ?Yaani huko ukipelekwa upo stage ya kuhitaji ventilator andika umekufa tu. Ndo maana ikifika watu wengi wanaugua na wanahitaji ventilators. Wataachwa wafe tu,maana hazipo.
napambana na pacemakerPambana na hali yako.
2/3 ya walioambukizwa wamepona bila kwenda hospitali. 1/3 iliobaki ndio wanaenda kutibiwa hospitali ambapo wengi wanapona,wachache wanakufa. wanaokufa mostly ni wazee na wenye underlying diseases. Na ndio kinachoua watu USA,Spain,Italy.Sasa death elfu 20000 ni mchezo iyo sasa ni usa ambayo ni nchi imejikamikisha kiuchumi sasa si africa si itakua zaidi miliion vifo
Sent using Jamii Forums mobile app
kama siyo ventilators wangelikufa mamilioni, sasa ni 20,000! Do you see the difference?Dada kifo huwa kinapangwa na Mungu na wala si binadamu! Mbona huko US wenye ventilators kibao wanakufa? Halafu unadharau sana nchi yako as if siyo Mtanzania.
Zipo ngapi pale ?Muhimbili penyewe 10 hazifiki. Yaani Mungu atunusuru.Una uhakika ventilator iko moja?
sijui, nilitaka kujua tu.Zipo ngapi pale ?Muhimbili penyewe 10 hazifiki. Yaani Mungu atunusuru.
Mkuu, USA nzima mpaka sasa kuna cases 530,000 hivyo vifo mamilioni vitatoka wapi? Hapo hapo USA 2/3 wanapona bila kuwa hospitalized only 1/3 ndio wanaenda hospitali na miongoni mwao ndio wanahitaji ventilators. Hata USA wenyewe hawana ventilator za kutosha watu 500,000. Kama kila mwenye covid 19 angehitaji ventilator hata hapo USA wasingeweza kumudu.kama siyo ventilators wangelikufa mamilioni, sasa ni 20,000! Do you see the difference?
Kati ya America zote,australia,ulaya,Asia na africa ni Bara lipi lenye wagonjwa wachache wa CORONA?.
na hata huku Africa utagundua ukiacha nchi za Africa kaskazini ambapo wapo karibu na ulaya na asia wanaofata kwa maambukizi ni sauzi africa..
kwa hyo wasitutishe.
"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"
Mkuu Ebola is highly contagious the only good thing about Ebola MTU hawezi kuanza kuambukiza kabla hajaonesha symptoms za Ebola zile hapo ndo pona yetu mzee!!I think ebola is more fatal while COVID-19 highly contagious
Mda sana walizarau mgonjwa wakwanza us aligundulika January mzee ,ila wameamza kufa kwa kasi machi mwishoni huku. Miezi kama miwili hivi.ilichukua muda gani kwa USA from case #1 hadi #100?
Hata umaskini ametupangia Mungu au?Dada kifo huwa kinapangwa na Mungu na wala si binadamu! Mbona huko US wenye ventilators kibao wanakufa? Halafu unadharau sana nchi yako as if siyo Mtanzania.
Kitu kimoja tuna overlook, idadi ya wazee. Mfano Italy kuna kipindi wastani wa umri wa waliokufa ulikuwa ni miaka 79! Nchi hizo unazoona wana vifo vingi idadi ya wazee ni kubwa sana. Ndio maana sasa hivi wanawaonya Japan ikikolea pale watajuta.Mda sana walizarau mgonjwa wakwanza us aligundulika January mzee ,ila wameamza kufa kwa kasi machi mwishoni huku. Miezi kama miwili hivi.
Sisi case ya kwanza ni march kwahio tukaushe tusipige domo kwanza kwa miezi kama miwili ndotuanze kujimwambafy.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua Africa INA wagonjwa wa ukimwi wa ngapi??2/3 ya walioambukizwa wamepona bila kwenda hospitali. 1/3 iliobaki ndio wanaenda kutibiwa hospitali ambapo wengi wanapona,wachache wanakufa. wanaokufa mostly ni wazee na wenye underlying diseases. Na ndio kinachoua watu USA,Spain,Italy.
Ili wafe watu milioni Africa maambukizi itabidi yawe mamilion ya watu ambao wengi wawe wazee na wagonjwa.
Mzee 530000 hao waliopimwa. Hawajapima mnchi nzima !!Mkuu, USA nzima mpaka sasa kuna cases 530,000 hivyo vifo mamilioni vitatoka wapi? Hapo hapo USA 2/3 wanapona bila kuwa hospitalized only 1/3 ndio wanaenda hospitali na miongoni mwao ndio wanahitaji ventilators. Hata USA wenyewe hawana ventilator za kutosha watu 500,000. Kama kila mwenye covid 19 angehitaji ventilator hata hapo USA wasingeweza kumudu.
Nimesema ebola ni more fatal kama ulivyomalizia. Kusema haiambukizi mpaka dalili zitokee maana yake ni afadhali kuliko Corona ambayo kitendo cha kuwa karibu,kushika vitu mnaambukizana. Covid 19 is highly contagious ndio maana pamoja na juhudi zote hata 1st world wanashindwa kuidhibiti.Mkuu Ebola is highly contagious the only good thing about Ebola MTU hawezi kuanza kuambukiza kabla hajaonesha symptoms za Ebola zile hapo ndo pona yetu mzee!!
Lakini Ebola ingekuwa mgonjwa anaweza kusambaza kabla hajaonesha dalili yoyote basi ingefanya mauaji ya halaiki yasioelezeka maana kill ratio yake ni ajabu na inaua vibaya mno.
Sent using Jamii Forums mobile app